Search results

  1. M

    Karibuni Ruangwa

    Ruangwa inapokonya miradi ya wilaya zingine ndani ya mkoa. Miradi Mingi ya kimaendeleo iliyopangwa kufanyika katika wilaya zingine za Lindi hiyo mirdi inahamishwa inapelekwa ruangwa. Leo hii manispaa ya Lindi ina shule moja ya advance Ila ruangwa ina shule 6 za advance hii inatokana na kuhamisha...
  2. M

    Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

    Aisee ni kweli. Nimeenda ofisi ya Bodi ya mkopo leo. Wanasema wao hawahusiki na salary slip za utumishi. Tatizo lipo hazina.
  3. M

    Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

    Habari wadau, Kwa yeyote anayekwata na Bodi ya mkopo. Linganisha deni lako la mwezi May na deni lako la mwezi June kwenye salary slip yako utagundua. Wamekata pesa ya mwezi June lakini deni limebaki lile lile la mwezi May. Pia kuna wengine wamekatwa pesa mwezi Juni mfano mtu amekatwa laki na...
  4. M

    Kuhusu wanaoombewa na kupona HIV makanisani

    Tumia dawa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom