Search results

  1. komrade

    Jaribio la mzigo wenye kiwango kikubwa cha mionzi ya nyuklia kuletwa Tanzania.

    J1 hii ktk bandari ya Mombasa, meli iliyobainika kuwa na mzigo wenye kiwango kikubwa cha mionzi ya nuclear ukiletwa Tanzania, ilizuiliwa na kuamriwa kurudisha mzigo huo ulikotoka. Haijajulikana huo mzigo ni kitu gani! Nani muagizaji! Na ulikuwa unaletwa Tanzania kwa madhumuni gani. Cha...
Back
Top Bottom