Search results

  1. V

    Baadhi ya mashtaka ambayo hayati John Magufuli angeweza kufunguliwa iwapo asingefariki

    Angefuata rafiki yake Ndugai Kwa kukaa Hotel ya Nyota 5 na familia na wapambe wake miezi 5 Kwa gharama za Serikali ya Magufuli akitibiwa India. Gharama hizo na za usafiri na matibabu zinafichwa na Serikali ili wananchi wasizirai. Nyerere alikodisha nyumba ndogo karibu na Hospitali alikuwa...
  2. V

    Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

    Liko huko linalia na kusaga meno! Wengi waliolipenda tayari wako nalo na wengine watalifuata.
  3. V

    Hapa Kazi Tu

    Magufuli aliua Reli hiyo akiwa Waziri wa Uchukuzi ili afufue apate kimoja cha kuacha akipata Urais. MaCCM mtamsifia kwa kujenga Ikulu ya Dar!
  4. V

    Linalofichwa ni hili, heshima ya Ubalozi imeporomoka

    Nyerere nae alikuwa Mwenyekiti wa CCM na Mwanzilishi wa liChama hilo.
  5. V

    Shaka Hamdu Shaka: Gazeti la Raia Mwema ni waongo

    Hapana Yuko na Mangi.
  6. V

    Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

    Tungekuwa bado kwenye kikaango sasa tayari tuko motonI!
  7. V

    Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

    Hatashinda maCCM yote Bungeni yatamchagua Musukuma mwanachama mwenzao anayejua kusoma na kuandika kama wao aliyepata PhD ya kule hivi karibuni.
  8. V

    Uhuru Day: Tuliposahau Hadhira ilikuwa pia na Wageni Waalikwa

    Hazikuwa sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, zilikuwa sherehe za mafanikio ya miaka 60 ya Rais wetu mpendwa Mama yetu Samia Suluhu Hassan na maendeleo ya walinzi wake.
  9. V

    Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

    Alikuwa anashangaa kama Mimi Mzalendo kushuhudia maendeleo ya miaka 60 ya Uhuru wa nchi ya viwanda kuonyesha tu maendeleo ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama bila kuonyesha hata Kiwanda kimoja kati ya 4000 vya Mwijage. Mwijage hata kutambulishwa alirukwa!
  10. V

    Umoja wa Ulaya yaimwagia sifa Tanzania. Yaahidi kuendelea kumwaga mapesa

    Mwislam akinitembelea nyumbani kwangu nikampikia kitimoto atanishukuru sana kwa ukarimu wangu lakini ataniambia kwa unyenyekevu kabisa kuwa dini yake inakataza kula nyama hiyo na ataomba wapewe watoto wale sisi tukiendelea na mazungumzo yetu. Baada ya mazungumzo yetu tutaagana kirafiki kwa...
  11. V

    Mfahamu Omari Mahita Omari, Mtoto wa IGP mstaafu aliyehenyeshwa Mahakamani na Mawakili wa Mbowe

    Wako wengi hao walitupiwa tu magwanda ya Polisi bila kufika CCP ndo maana hawajui hata yaliyomo kwenye PGO. Mtoto wa mfanyakazi au wa mkulima hawezi kupata kazi huko hata kama ana PhD ya nguvu. Bila jina hakuna kazi wala uteuzi wa nafasi yo yote!
  12. V

    Wafuasi nguli wa CCM waanza kunyukana humu jukwaani kuna nini tena?

    CCM ni Muungano wa TANU na ASP Watanganyika wamelala usingizi mzito AfroShiraz Party imeshika hatamu pande zote.
  13. V

    Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

    Ukiona Rais wetu mpendwa yeyote anahudhuria sherehe za kuapishwa Rais wa nchi nyingine ameongozana na Kibajaji Mshauri Mkuu anayejua kusoma na kuandika ujue kuna tatizo tena kubwa sana.
  14. V

    Ni uongo gani unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania?

    Dunia ni kijiji hakuna anayeweza kusingizia uwongo mwanakijiji jirani maana yeye ndo ataonekana kuwa mwongo Kwa sababu wanakijiji wote wanajua ukweli. Mwakajana tu Mkuu wa Mbuga za Utalii nchini alikiri kuwa Watalii wanaotembelea Mbuga zetu huwa hawarudi tena kama wanavyofanya nchi nyingine za...
  15. V

    Kwanini Watanzania wengi wanataka IGP Sirro aondolewe? Utendaji wake haufai?

    Amehamisha Jeshi la Polisi lote kushughulikia siasa kuwakandamiza CHADEMA kwa kuwabambikizia kesi na kuwatupa mahabusu bila kosa lolote akiacha uhalifu ukiongezeka kwa kasi ya ajabu ikiwa ni pamoja na mauaji ya kutisha. Intelligentsia ya Polisi aliyokuwa anajigamba kuwa na uwezo wa kuwabaini...
  16. V

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Hawezi maana wote ni wa CCM na usawa umezingatiwa kwa utawala rahisi.
  17. V

    Kauli, matamko ya Rais Samia yaliyoleta umoja na utulivu wa nchi

    Kauli siku zote huwa ni kauli tu za kusikiliza na kusahau au kupuuza kabisa na na lolote lisiharibike wala kutengemaa maana huweza kutamkwa na mtu yeyote. Mwendazake ni amekwenda zake hatarudi tena kwa hiyo hawezi kuwa kitu kimoja na aliye hai maana haiwezekani hata walio hai wawili wanaoishi...
  18. V

    Ni nani aliyetoa ng'ombe kwa vijana wa Mwanza kisha ng'ombe hao wakatolewa kama zawadi kwa Rais Samia?

    Huu ulikuwa Mikutano wa hadhara wa Rais kuwatambulisha wateule wake wa Mikoa ya Ziwa kwa vijana na kuwahutubia kuhusu mafanikio ya Serikali katika kuwaletea wananchi wa Kanda hiyo maendeleo. Hotuba hiyo ingeweza kutolewa Ikulu Dodoma au Dar na vijana Nchi nzimà wangepata fursa ya kumsikiliza...
  19. V

    Sielewi kwanini mtu aliyechakachua msaada wa serikali na kujimilikisha enzi za Kikwete, akaondolewa leo anateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa

    CCM kumebaki makapi tupu ndo maana Serikalini hata Bungeni utakuta majina yaleyale ya waliopita na waliopo toka mababu hadi wajukuu. Mfano nzuri wa wakati ni Waziri mmoja kuteuliwa mara tatu na Rais mmoja kushika Wizara tatu tofauti ndani ya kipindi kimoja na kuteuliwa tena na Rais mwingine...
  20. V

    Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

    Hii itukumbushe sote miaka miwili iliyopita MaCCM wa Dar es Salaam walivyo mlundikia misifa ya kijinga Magufuli kwa kuwezesha ndege A380 kutua kwa dharura Dar ikielekea Mauritius wakati Terminal Three ikiendelea kujengwa. Ndege hii ndo kubwa ya abiria kuliko zote duniani na ilikuwa imetua kwa...
Back
Top Bottom