Hivi haya yote yanatokea TISS wanafanya kazi gani? je BOT inayotoa leseni kwa haya mabank ndy inakuwa basi tena, hakuna ufuatiliaji? kweli magufuli kazi anayo
kwanza hizi mashine inabidi ziuzwe na kitengo cha kodi cha TRA siyo wapigaji. Lazima atajulikana ni nani anamiliki Pergamon moja ya kampuni zinazo uza mashine za EFD, Kampuni ya Maxmalipo pia ni Wauzaji walioizinishwa na TRA kuuza mashine.
mkuu hapo umenena matumizi ya dola yapigwe marufuku unaenda kununua bidhaa mjini muindi anakuambia inauzwa kwa dola, tuwe ka china ni marufuku kufanya biashara ndani ya china kwa kutumia dola. Na iwekwe sheria ikitokea mtu kakamatwa ni kifungo si chini ya miaka mitatu mpk mitano na kulipa faini...
Ifike mahala nchi za kiaafrika zijitegemee kwenye mambo yake, na ndy matatizo ya kutegemea wahisani kutuendeshea maisha yetu. inafika wakati watatuamrisha kuhusu mashoga. Hapo ndipo utapoona nchi za afrika kuwa na masoko ya pamoja ili kukabiliana na vitisho vya hawa nguruwe, na si masoko tu viko...
Ifike mahala nchi za kiaafrika zijitegemee kwenye mambo yake, na ndy matatizo ya kutegemea wahisani kutuendeshea maisha yetu. inafika wakati watatuamrisha kuhusu mashoga. Hapo ndipo utapoona nchi za afrika kuwa na masoko ya pamoja ili kukabiliana na vitisho vya hawa nguruwe, na si masoko tu viko...
watu wote watakao bainika kuhujumu uchumi wa nchi, wanatakiwa wafungwe si chini miaka 15, wafilisiwe kila kitu hata kile walichopata kwa halali. ili iwe fundisho na mfano kwa wote. Lazima tufike mahala nchi iheshimike na kuogopwa km mionzi ya nyuklia
Huyu jamaa anaitwa Zitto ni mtu ambaye nilikuwa na mkubali sana kutoka na siasa zake, ila baada ya kugundua kuwa huyu jamaa ni Mnafiki na Mchumia tumbo Ahaaaaa! nimeingiwa nyongo na huyu kiasi kwamba sura yake huwa naiyona kama jinamizi vile. Hafai kabisa. Mwanzoni niliona km wanamuonea kumbeeee
haaa haaa haaa ndugu uliona zile picha sita akiwa na tajiri wa HSC , mwakyembe naye na wote wamepiga wakiwa dubai hv unafikiri ni kwanini walikutana na huyu jamaa? haikuwa bahati mbaya ila ni kwa makusudi. wizara usafirishaji + bandari na TRA + HSC=...........
Mi nadhani kuna haja ya kufanya uchunguzi, wale wote waliokwisha wahi kuwa mawaziri wa usafirishaji wachunguzwe, riz moko na taasisi zinazohusika ambazo tumeona hatua zimeanza. time will tel
tatizo jamaa amekariri kuwa habari yoyote inayomuhusu rais au makamu lazima iwe ya kwanza. yote hy ni tactics za utangazaji. hata waandishi wa vitabu anaweza akaanza kusimulia hadithi mwisho then akarudi mwanzo na akamalizia katikati. pia nakushauri mkuu usitegemee chombo kimoja kupata habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.