Search results

  1. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bro ulikuwa utani tu wala sikuwa na maanisha maana kilichotokea kwako na me kinaweza nitokea coz na me nina mtoto wa kike so siwezi kubaliana na hili
  2. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    Sio kila kosa mtoto anastahili kupewa adhabu ya bakora. Adhabu ya bakora inapaswa kuwa adhabu ya mwisho baada ya adhabu zote alizopewa mtoto kushindikana na kawaida mtoto wa kike anapaswa kuchapwa mkononi na siyo kwenye makalio. mtoto kuadhibiwa kwa kosa la mzazi ni kosa. "Siungi mkono...
  3. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo mzazi unataka kuja tusaidie kuwabandika
  4. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi itabidi uandike walaka uwapelekee
  5. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au serikali ikuajiri we
  6. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    kwani mtoto alichapwa kisa kamkataa mwl au hakufikisha taarifa kwa mzazi
  7. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    milele amina tutaendelea kuwabandika mpaka akili iwakae vizuri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  8. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    inabidi serikali iliangalie hili swala la wazazi wajingawajinga kama hawa nawao tupewe kibali cha kuwabandika tu maana hawajielewi kabisa
  9. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    aaanh we hata kama mshua wako awe nani me nakubandika tukisema tuanze kuangalia sijui mtoto wa flani baba yake asichapwa hatuwezifika
  10. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    njoo uchukue uhamisho umpleke huko wasikochapa lakini kwetu sisi ni mwendo wa bakora tu
  11. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    hahahahaha mnatudharau kwa sababu Tunakazi ya kumrekebisha mtoto pamoja na mzazi mzazi unakuta hajielewi mtoto nae hajielewi mara 2 zaidi
  12. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    walikuwa wanakulea tu me uniambie sipigiwi alafu nikuache nakuogopa
  13. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    nenda kashitaki na tutaendelea kuwabandika mpaka wanyooke
  14. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    hahahahaha. haya ni maajabu Punguani kazaa punguani tulia hivyo hivyo dawa ikuingie kwani ulitumwa usihudhurie kikao.
Back
Top Bottom