Based on our previous achievement personally ntakua surprised.Lakini Kutokana na quality na form tuliyonayo sitakua surprised kabisa na itakua proper farewell Kwa Xavi.
Mimi toka draw inapangwa nilivyoona tu path yetu kuna Dortmund/Atleti/PSG i saw the possibility to reach the final,Why? quality ya hizi team na team yetu hatuachani sana.Barca watu wanaichukulia poa but believe this team Ina quality ya ku battle na team yoyote Ile ulaya,mtu anaesema Barca ana...
We are dark horse in this tournament,tupo kama hatupo vile, ila tupo.No pressure at all Kwa sababu we are not favourites to win the tie,ukiangalia pia performance zetu zilizopita kwenye michuano hii last time to reach Quarter final ni 2020 huko,but still we believe our players, we can battle...
Napenda sana Barca tunavyochuliwa Underdog.This is Champions league brother,Knockout games sio league.Huku form ya kwenye league weka kapuni.Bayern unaemuona mbovu bundesliga kisa now anaongoza Leverkusen ,basi ukamchukulia poa!,huku ni experience ,mentality na moments.
Possibly tunaweza kutoboa vizuri tu na hata ukiangalia PSG hawana squad ya kutisha sana. Backline na midfields hatuzidiani sana ,tena midfields tuna quality kuliko wao.Threat hapo ni Mbappe tu basi,tukizuia vizuri we move to semi & possibly final tena path yetu sio ngumu sana, Atleti/Dortmund...
Toxic environments mkuu,To manage Barca inahitaji kocha anaeweza ku handle pressure ya mashabiki + media.Barca na Bayern ni aina ya vilabu ambavyo kocha hupewi muda ,sijui maswala ya project sijui nini!.Mfano Barca now kiuhalisia ipo kwenye project ,but you know why hata kama ni project...
Team Kwa sasa haina fowards wa kueleweka +kocha nae mpumbavu!.Daah inatia hasira sana asee!.Barca sikuizi imekuwa loughing stock,hatutushi tena in Europe!.
Team kufanya signings tu za maana imekuwa shida ,achilia mbali ku register wachezaji,how can we compete!!.Kikosi kilichopo kwa sasa kina...
Huyu dogo anatakiwa aboreshe game yake He is a midfielder not striker Yes anafunga sana but magoli yatakata.Hiyo game na Madrid kama ingeisha sare au Madrid kufungwa angekuwa among average players uwanjani.Hii role ya sasa as a false 9/10 anaitendea haki vizuri kwa magoli credits to him.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.