Search results

  1. AllanJnr

    Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Pdf ya tangazo lao mbona haipo kwenye website
  2. AllanJnr

    Usumbufu wa kupokelewa kituo cha kazi baada ya kupangiwa

    Mkuu kaa karibu na simu yako tu maana hamna namna
  3. AllanJnr

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu nawashukuru sana kwa miongozo mlokuwa mkitoa since day one naanza interview za utumishi hatimae nami nimebahatika katika mkeka ulotolewa leo mchana....... Ningependa kuwashaur tusikate tamaa kwa mliobaki ni swala la muda tu Pia kuhusu swala tulilolizungumzia mda mrefu la STATUS kwenye Web...
  4. AllanJnr

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwahyo huyo jamaa kapata ma vip?
  5. AllanJnr

    Wakuu naomba mnisaidie njia rahisi ya kuwasiliana na kuwafikia utumishi kirahisi kutokana na tatizo lifuatalo...

    Nmeandikiwa kuwa sijawa SHORT LISTED kutokana na kutoweka passport size wakati ipo na ninahakiki kila Mara kabla ya kuapply na nmeitwa interview kadhaa lakin hii ni ya umuhimu zaidi kwangu lakini wameniacha kwa kuniandikia sababu isiyo kuwa sahihi...hivyo nnaomba aliewahi kuwasiliana nao kwa...
  6. AllanJnr

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wameniwekea saiv sababu wandai sijaweka passport wakat ipo siku zote na baaz ya interview nimeitwa
  7. AllanJnr

    Kutolewa kwa mkeka wa MNH na JKCI (PSRS)

    Mfano mimi Nimekuwa not shortlisted wanadai sijaweka passport size photo wakati ipo tangu nafungua account na huwa naitwa isipokuwa sasa ndo wanatoa hizo sababu
  8. AllanJnr

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwenye account sijawekewa sababu bado iko received tu ila kwenye mkeka sipo
  9. AllanJnr

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naomba kama kuna namba ya simu inayojulikana inapatikana utuwekeee hapa mkuu sababu hata me nimetemwa mkeka wa muhimbili ilihali kila kitu nimekamikisha na nishaitwa interview kadhaa
  10. AllanJnr

    Waombaji wa ajira za kada za afya, majina yao yameorodheshwa

    Juzi kwenye ajira za Tamisemi kuna nafas kama mia7 na point zilibaki bila watu na hiz za leo naona pia kuna nafas watu hawakupatikana so zitatangazwa tena...kweli Afya mpo vizuri
  11. AllanJnr

    ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

    Je na inaruhusiwa kuomba nafas zote mbili kwa pamoja kama umekizi ?
Back
Top Bottom