Search results

  1. Alistalikopaul

    Azam wampa mkataba Ongala

    [emoji599] Uongozi wa Azam FC umefikia makubaliano ya kumkabidhi timu aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu, Kally Ongala hadi mwisho wa msimu. Uamuzi huo umefikiwa kutokana na kiwango bora timu imekionyesha chini yake, hivyo viongozi wameamua kusitisha taratibu za kutafuta Kocha mpya. SportsArena.
Back
Top Bottom