Search results

  1. nirahbee

    Natafuta sehem ya kuweka kibanda cha bishara

    Hahahahah ahsante ! Haya ni futii lol Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. nirahbee

    Natafuta sehem ya kuweka kibanda cha bishara

    Nipo kinondoni,banda nataka nitengeneze size ya yale makontena(trela) la 20futi sijui sentimita lol..! Yah ila ukubwa kama huo yani.!
  3. nirahbee

    Natafuta sehem ya kuweka kibanda cha bishara

    Ya juice ya miwa labda na vyakula vidogo vidogo,maeneo ya mjini mjini itakua vizuri zaidi mrad kue na mchanganyiko wa watu.!
  4. nirahbee

    Natafuta sehem ya kuweka kibanda cha bishara

    Milion mbili nalipia eneo au frame ? Sitaki frame nataka tu eneo nitakaloweka banda langu... [emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. nirahbee

    Natafuta sehem ya kuweka kibanda cha bishara

    Habarini wapendwa,natafuta sehem ambayo naweza lipia kwa kuweka kibanda changu cha biashara,lakini liwe eneo lenye watu na lenye biashara na liwe dar es salaam ! Nitashukuru,mwenye idea pls contact me ! [emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. nirahbee

    Natafuta Eneo la kuweka kibanda cha kuuzia biashara .. (juice na vyakula)

Back
Top Bottom