Search results

  1. B

    BAVICHA Ubungo kufanya kongamano Landmark Hotel

    Hili la BVR na kuhamasisha uandikishaji ni muhimu sana. Ushindi unanukia!
  2. B

    BAVICHA Ubungo: Kongamano la vijana kesho Jumamosi

    Umeyasikia wapi haya mkuu? Ubungo nawakubali sana. Wapo vizuri!
  3. B

    BAVICHA Ubungo: Kongamano la vijana kesho Jumamosi

    Ni taasisi imara kabisa ya vijana Afrika!
  4. B

    BAVICHA Ubungo: Kongamano la vijana kesho Jumamosi

    Safi sana makamanda. Hii lazima nihudhurie!
  5. B

    TANZIA: Sofia Yamola wa ACT-Wazalendo afariki dunia

    Ndiyo maana tunasema CCM mmechoka! Hamwezi kifikiria siasa za hoja na sera, wakati wote mnafikiria propaganda tu; tena propaganda chafu!
  6. B

    Zitto atarejea bungeni? Naona makosa mengi katika maamuzi yake!

    Kwa ujasiri wa kuandika haya, inawezekana wewe ndiyo unawaza hayo. Msije mkamuua halafu mkasema proCDM. Umenikera sana.
  7. B

    Kutana na Shangwa ole Ikayo, Mgombea Ubunge mdogo kuliko wote Tanzania

    Safi sana. Tunataka vijana wenye uthubutu!
  8. B

    Zitto Kabwe ahutubia Kabirizi Kigoma, leo Tarehe 17/5/2015

    Mnyika ni mashine nyingine hata mkimleta JK hatoki. Huyo msaliti hata hafikiriwi. Hata yeye kapima upepo ndiyo maana akaamua kukimbilia Kigoma!
  9. B

    Umuhimu wa Amani ya Tanzania nimeubaini sasa!

    Chukua like mkuu.
  10. B

    Kongamano la kujadili Baraza la Vijana la Taifa

    Safi sana makamanda. Tutakuwa pamoja!
  11. B

    Kwa mapungufu haya, muswada wa Baraza la Vijana Tanzania unaopendekezwa na serikali haufai

    Ratiba ya Bunge inaonesha tarehe 31/03/2015 kutakuwa na miswada miwili inayofanana kimaudhui. Mmoja ni Muswada wa Baraza la Vijana Tanzania, 2015 (wa serikali) na mwingine ni muswada binafsi wa Sheria ya Baraza la Vijana la Taifa, 2013 (wa JJ Mnyika). Cha kushangaza, inaonekana serikali...
  12. B

    Tahadhari kwa Zitto Kabwe

    Kumbe adui wa ACT ni CHADEMA si CCM!
  13. B

    Sangali Masanja, ana nafasi nzuri ya kushinda Jimbo la Sumve

    Nchi inaangamizwa sio na watu waovu bali na ukimya wa watu wema. Kila la kheri kwa vijana wote wanaoendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali. UKAWA ndio mpango mzima CCM walie tu!
  14. B

    BAVICHA Ubungo walalamikia taratibu za Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Harakati zinaendelea mpaka kieleweke. Pamoja sana makamanda!
  15. B

    Hongera mfalme, lakini umepoteza fursa muhimu sana!

    Hapa (highlighted red) unamaanisha nini mkuu? Ukweli Usemwe
  16. B

    Wajumbe wa Mkutano mkuu wa BAVICHA mnayafahamu haya? Fikiri chukua hatua kwa manufaa ya chama

    UENYEKITI BAVICHA: PASCAL PATOBASS… NYUMA YA PAZIA NA UFADHILI WA ANTHONY DIALLO. Utangulizi. 1. Pachal Patrobas ni mwajiriwa wa kampuni ya sahara media Group Limited akiwa kama Mwanasheria wa Sahara Media Media Group Limited, lakini pia akiwa kama kwenye kitengo cha HR ya kampuni hiyo...
  17. B

    Wajumbe wa Mkutano mkuu wa BAVICHA mnayafahamu haya? Fikiri chukua hatua kwa manufaa ya chama

    Tumetambua athari ambazo nchi yetu imekumbana nazo kutokana na mfumo wa kiimla uliotokana na mfumo chama kimoja cha zamani ambacho kimefubaa na kubaki kuendelea kuendesha siasa za majitaka kwa kuibambikizia Chadema kesi na tuhuma zisizokuwa na macho wala uakinifu.Pia...
  18. B

    Wajumbe wa Mkutano mkuu wa BAVICHA mnayafahamu haya? Fikiri chukua hatua kwa manufaa ya chama

    Daaahhh....!!!, Mi napita Jamaa ....Maana Mambo Ni Mazito Saaana Haya.
Back
Top Bottom