Search results

  1. manaina jr

    Hela ya kujikimu tumeandishwa 80,000 kwa siku, je ni sahihi?

    Wakuu habari za muda huu, Waajiriwa wa ajira mpya za TAMISEMI tulivyoripoti kwenye Halmashauri zetu ili tuanze kazi.. Tuliambiwa tuandike barua za kuomba pesa ya kujikimu ambapo tuliambiwa tuandike Tsh. 80,000/= per day.. Baada ya kufatilia kwa watumishi wenzetu waliotutangulia kazini...
  2. manaina jr

    Mshahara wangu sijaupata account ilikuwa blocked, nifanyeje?

    Habari za muda huu wakuu. Mimi ni miongoni mwa waajiriwa wa ajira mpya zilizotangazwa na TAMISEMI mwezi wa 6, 2023.. Sasa kabla sijapata kazi serikalini nilkua natumia EQUITY BANK kwenye kupokelea mishahara yangu kule nilipokuwa nimeajiriwa. Baada ya kuajiriwa serikalini nikatakiwa nijaze...
  3. manaina jr

    Naomba mwenye softcopy ya kitabu cha "The Shyness and Social Anxiety System"

    Habari wakuu, naomba mwenye softcopy ya kitabu cha "The Shyness and Social Anxiety System" kilichoandikwa na Sean Cooper, anisaidie nimekitafuta sana mtandaoni bila mafanikio. Asanteni🙏
Back
Top Bottom