Search results

  1. S

    CUF ina mkosi gani?

    Tunajua nnacho kitaka ila mmekwisha hamfanikiwi kamwe nyie si walewale wa loliondo simnategemea mbebwe na wandishi wa habari ila ukweli ukidhihirika mtanyamaza kimpya kama babu wenu wa loliondo
  2. S

    Kama CHADEMA ina wabunge vilaza kama hawa? Hawafai nchi!

    cdm kuweni waw azi mimi cna chama lakini, yakisemwa mambo ya kweli kuhusu cdm mnapinga watanzania cio wajinga kiasi hicho wameona, kuweni wazalendo kwa masilahi ya watanzania wote.
  3. S

    CHADEMA waigeni CUF

    cuf ni kweli mnaweza recodi zenu zinafahamika, tunawaomba cdm ambao ni ccm ( c ) wajifunze kutoka kwenu waache tamaa hawawezi kufanikiwa kama, wanashindwa hata kufanya kazi na vyama vingine,hivi wataweza kuiongoza TZ yenye watu wenye dini tofauti kabila tofauti, au ndio itakua serikali ya...
  4. S

    Comrade Julius Mtatiro

    Tatiza chadema hamsemi mtawafanyaia nini watanzania. Kubwa kwenu majungu zidi ya cuf inaonyesha cuf wako makini zaidi ndio maana akili zenu zote zimehamia kwao.
  5. S

    Comrade Julius Mtatiro

    semeni chadema mtawafanyia nini wa tanzania mbona siku zote mnawazungumzi cuf inaonyesha cuf wako makini ndio maana akili zenu zote zimehamia kwao. tunataka sera sio majungu. mtatiro endeleza mapambano wafundishe siasa cdm
  6. S

    Freeman Mbowe: Nguzo na mhimili muhimu kwa ustawi wa CHADEMA

    Mawazo yako ni mazuri, ila sasa hili la kutaja jina la zito linanitia mashaka siku nyingine fikiria kwa makini.
  7. S

    Occupy Mnazi Mmoja Dar, Bungeni Dodoma, Inakuja TZ Jiandae

    haya bwana yangu macho
  8. S

    Prof. Ibrahim Lipumba yuko wapi jamani?

    unauliza kwani kwani wewe humjui Prof. dunia inamjua uwezo wake alionao nao yupo USA.
  9. S

    Nimeikodi helikopta bila kushauriwa wala kuelekezwa na Jussa wala Hamad Rashid - Mtatiro

    Watanzania kama tunahitaji maendeleo inatubidi kufanya mamuzi sahihi, vipo vyama ambavyo zamira zao ni kuwadanganya watu ili wapate umaarufu wa kisiasa, bila kuwaambia watawafanyia nini watanzania, cdm sio chama makini hata kidogo. Kama chama kinadanganya watu eti cuf ni ccm b ni kitu ambacho...
  10. S

    CUF kwa nini tumefanya vibaya sana katika uchaguzi mdogo wa Igunga

    Cuf, matokeo haya yawe nichangamoto ndani ya chama. Mm binafsi sikutegemea hivo. Cuf wamesimamisha mgombea mzuri sana, na sera zake ni zuri wamefanya kampeni za kistaraabu bila fujo, ila nimegungua ikohaja ya wananchi kuelimishwa, watu wanafwata mkumbo wa ushabiki na propaganda bila kufikiria...
  11. S

    ITV acheni Kuichakachua CUF!!!!

    Tunajua, itv wanampango wao maalum, na chama hicho lakini kama hawataki kuonyesha uhalisia wa mikutano ya chama hicho waache kabisa, cuf ipo na itaendelea kuwepo, hata mm nilikuwa najiuliza ukiangalia tv nyingine ni tofauti na itv, haya endeleni na wachaga wezenu tutafika hapo mnapo pataka. Itv...
  12. S

    Prof Lipumba aenda World Bank

    Tunakuamini prof lipumba, watanzania bado tumelala hatujui umuhimu wako nenda kafanye kazi wezetu wanajua umuhimu wako
  13. S

    Mahakama ya Kadhi: Masheikh wakutana na JK

    Mahakama ya kadhi inawahusu wa islam tu. Kama wewe sio muislam inakuuma nini????
  14. S

    Maalim Seif anakagua miradi ya maendeleo Tz bara kama nani?

    kama kiongozi wa serikali ndani ya ya jamhuri ya mungano wa Tanzania, chadema njie mnaona mita tano mbele wenzenu cuf wanaona mita 100 mbale ukweli ndio huo. mambo waliofanya cuf mwika ya nyuma ndio nyie mnafanya sasa kama maandamano cuf wamefanya sana nawambia endeleeni hivohivo mtaishia...
  15. S

    Kauli toka Igunga: Huwezi safisha tope kwenye maji ya Kunywa kwa kumwaga Grisi-Utayachafua zaidi

    Jamani kueni macho na wanafiki, hayo sio mawazo ya wanaigunga hizi ni habari za kutengeneza, kama kweli mnapendwa mbona juzi mlishindwa kusimamisha mgombea, wangesema cuf sawa. Chadema kwa uongo nyie nimwisho, anawaonea haruma uongo wa aina hii haukubaliki.
  16. S

    Mgombea wa CHADEMA Igunga

    Mgombea mwenye uwezo mkumbwa igungu ni mahono, wa cuf ukweli ndio huo na sisi wanaigunga tutamuunga mkona huyu atatufaa nyie endeleni na malumbano yenu. Tunajua mnapigania masilahi yenu bnafus sio ya wanaigunga
  17. S

    Leopard Mahona - Mgombea wa CUF mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la Igunga

    WATANZANIA MBONA HATUTAKI KUWA WA KWELI? KAMA NDIO HIVI IPO KAZI YA ZIADA YAKUFANYA, UKWELI CUF IGUNGU WANANAFASI KUBWA YA KUSHINDA SEMENI UKWELI HATA KAMA UNAUMA. USHABIKI WA CHAMA NA HALIHALISI YA MAMBO TOFAUTI KABISA, MUACHE UONGO WACHENI WANAIGUNGA WACHAGUE WENYEWE, CUF JIPANGENI VINZURI...
  18. S

    Leopard Mahona - Mgombea wa CUF mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la Igunga

    watanzania mbona hatutaki kuwa wa kweli? Kama ndio hivi ipo kazi ya ziada yakufanya, ukweli cuf igungu wananafasi kubwa ya kushinda semeni ukweli hata kama unauma. Ushabiki wa chama na halihalisi ya mambo tofauti kabisa, muache uongo wacheni wanaigunga wachague wenyewe, cuf jipangeni vinzuri...
  19. S

    Kwanini mkutano wa juzi wa CHADEMA Arusha hatukuona kwenye vituo vyote vya TV?

    Sasa wewe hujui kuwa vyombo vya habari vimewachoka hamna habari? Subiri uchaguzi mdogo igungu ndio utaona matunda yenu wanannchi watakavyo wakataa, maendeleo hayapatikani kwa maandamano siri ya maendeleo ni umoja lakini kwasababu cdm kampuni ya watu wabinafsi hilo hawalioni, wamevaa miwani ya...
Back
Top Bottom