Search results

  1. masanjasb

    Waziri Sospeter Muhongo atua uwanja wa ndege wa Mwl Nyerere, Dar

    Tulipwe na fidia zetu sasa maana nyumba zetu zimewekewa x kwa ajiri ya mradi huo takriban miaka 5 Halafu hili swala la serikali kuchukua maeneo ya watu na kuyahodhi kwa mda mrefu bila fidia yoyote inashusha morali ya maendeleo sana
  2. masanjasb

    Kama kuna Uchaguzi kesho,tunatakiwa kupumzika sasa

    Mtihani mingine binadamu huwa tunajitakia wenyewe incase ilikitokea lolote kesho Zanzibar naomba Mungu asihusishwe nalo
  3. masanjasb

    Mbio za sakafuni za Saed Kubenea kufika ukingoni mapema?

    Mtu akiwa hatarishi ndani ya serikali ya ccm ataandamwa kama mbwa mwitu "Nimekuwa nikiibua kashifa kubwa bila uoga,sasa wana ubungo nipeni kibali niwe mbunge ili niibue makubwa zaidi bila uonga maana nitakuwa na kinga ya bunge" haya maneno ccm bado yanawapa wakati mgumu sana maana wasiempenda...
  4. masanjasb

    Eliakim Maswi aondolewa TRA na kupelekwa Manyara kuwa Katibu Tawala Mkoa (RAS)

    Utawala wa kikwete ulikuwa wa maigizo ila huu ni zaidi maingizo na matoleo,maana utawala huu umejikita kukonga nyoyo za mashabiki zaidi
  5. masanjasb

    TANZIA: Bi. Asha B. Makame afariki dunia

    Nimekosa neno la busara la kusema kwa huyo mama pamoja na kwamba mtu akifa huwa tunafuta madhambi yake yote ila ile kauli yake ndo inayofanya maalim seif asipewe Nchi hadi leo "Na mie siamini kama kafa kwa mujibu wa ITV hadi niione maiti yake"
  6. masanjasb

    Serikali imetoa Picha rasmi ya Rais Dr. Magufuli

    Ikulu patamu,mwali kanona sasa tunaweza kupiga picha nae
  7. masanjasb

    Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    Sasa ile mikataba 19 aliyosign mkwere pale ikulu akiwa na Rais wa china itakuwaje? Msaada wa magari ya police tuliyopewa kipindi cha uchaguzi tutawalipa nini wachina? Nilishawahi kuuliza kama kina cha bandari ya bwagamoyo nichakuongeza wakati bandari ya Mtwara na Tanga zinakina kirefu...
  8. masanjasb

    Calculator ya TRA ya tozo za kuingiza magari itarekebishwa lini?

    We unashangaa hilo? Wakati Ndani Ya Nchi Moja Unalipia Ushuru Wa Gari Mara Mbili Unaingiza gari zanzibar toka Uk au Japan then Zanzibar unalipia ushuru Mfano M3 kwa gari kama Rav4 kilitime kisha ukiileta dar napo unalipia ushuru m4.5 Plate number za zanzibar zinaishia bandari ya zanzibar na...
  9. masanjasb

    CHADEMA watoe mahesabu ya michango ya uraisi kwa waliochangia ilitumikaje

    Tuanze na michango ya CCM kwanza Maana toka uanze mfumo wa vyama vingi ccm hajawahi kutumia fedha nyingi kama ilivyotumia kwenye uchguzi huu ilinunua vituo vya radio karibia vyote Ikanunua vipindi vya Tv karibia vyote Ikateka magazeti karibia yote Ikanunua wanasiasi wenye ushawishi wa hali ya...
  10. masanjasb

    Rais wa Zanzibar aanza kazi rasmi tangu uchaguzi ufutwe

    Kuna haja gani ya kiongozi mkubwa kama Rais kuapa Kuwa Itailinda na Kuitetea Katiba Ya Nchi Yake Na Mwisho wa Siku Yeye Ndo Anakuwa Kinara Wa Kuivunja? Kipindi chake cha miaka mitano kimekwisha shein sio rais wa zanzibar tena
  11. masanjasb

    CCM na demokrasia ya Shangazi Mwajuma

    John komba alishamaliza "CCM NI ILE ILE" Acha Tusaidiane kuisoma namba
  12. masanjasb

    Maalim Seif: Mimi ndio Rais wenu

    CCM muwe mnakubali kupoteza sometimes,Wasukuma wanaita GIVE AND TAKE Zanzibar mmeipoteza sababu ya kuweka nguvu kubwa bara kwenye uchaguzi huu,Mpeni maalim haki yake
  13. masanjasb

    Makundi ya Vijana wanaomuunga mkono Lowassa watangaza kuhamia UKAWA

    Hilo halina ubishi kura tutapiga hadi zimwagikie
  14. masanjasb

    Lowassa, Mbowe kupewa tuzo ya Amani Afrika

    Siasa za mwaka huu hasa upande wa upinzani zinaendeshwa kistarabu sana kuliko miaka yote Matusi na vitisho vinatoka CCM maajabu haya
  15. masanjasb

    DR. Magufuli atinga Monduli, atembelea kaburi la aliyekuwa waziri mkuu hayati Moringe Sokoine

    Monduli hakupata watu na ndiyo maana ccm arusha wamepambana sana kupata watu na wengi wameletwa na malori na picha zipo mnato na video
  16. masanjasb

    NEC yazuia mawakala wa CUF, NCCR& NLD chumba cha kuhesabia kura Urais.

    Nec kila wanalochokozwa Nalo wao Wanalijibia tu Hawajui Mda Mwingine Wanategwa tu Ili Watu WajipangenVzr Zaidi Mwaka huu uchaguzi Mtamu Kweli Kweli
  17. masanjasb

    Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

    Uchaguzi Huu Ni Kati Ya Lowasa Vs Kikwete Magufuli Na chambo Tu
  18. masanjasb

    Magufuli: Uongozi wa kisiasa sio wa kuhusisha familia nzima

    Mbona anapenda sana kumnanga Kikwete huyu jamaa? Kila analolisema ni dongo kwa rais pamoja na yote magufuli niwa kuangalia jicho la tatu kuna uwezekano akishinda uchaguzi huu akafunda hata hao hao viongozi anaotembea nao kwenye kampeni shauri zenu
  19. masanjasb

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Umesahau katika zile msg zao za whatsupp walishauriana kuja na tafiti za kwako au za chuo kikuu?
  20. masanjasb

    Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Pumzika kwa amani brother
Back
Top Bottom