Search results

  1. Tomasi Sankara

    Harmonize acha kutafuta public sympathy.Hii itakugharimu in long run

    Wakuu naitaji mwenye nyimbo hizi. 01 Public enemy- "fight The power" 02.sugarhill Gang-"Rapper's Delight". 03.Dr.Dre-"Nuthin But A 'G' Thang" 04.Run-DMC ft/Aerosmith-"walk This way" 05.N.W.A-"straight outta compton " 06.Notorious B.I.G-"juicy" 07.Snoop Doggy Dogg-"Gin and juice"...
  2. Tomasi Sankara

    Msaada

    Naombeni msaada wana jf. mwezi mmjo uliopita niliumia mkono ( kuanguka) kwenye maungio kati ya mkono na kiganja picha iyo apo chini pamoja na X ray nilienda hospital wakanifunga p.o.p sasa Jana nimetolewa nakukuta mkono ukiwa umebadilika na uko tofauti yani bado aujakaa vizuli na unauma picha...
  3. Tomasi Sankara

    Mkono kuvimba baada ya kuteleza

    Leo asubuhi nimeteleza sasa ile kutua chini nikatulia mkono wa kushoto. mkono ukajikunga(kugeuka) na kuvimba pia nakuuma sana naomba kama kuna mjuzi anisaidie.
Back
Top Bottom