Search results

  1. Z

    Unachukua upinzani wote, halafu!!

    Ccm kama hawatatumia mbinu ya uchaguzi wa serikali za mitaa, hakika watapata tabu sana, uchaguzi mkuu utakuwa mgumu sana upande wa ccm.
  2. Z

    Humphrey Polepole ‘awashukia’ Kinana na Makamba

    Ushauri mzuri Sana.
  3. Z

    Kumbukizi: Marehemu Horace Kolimba aliitwa ajieleze kwa kusema CCM imekosa dira, apumzike kwa amani

    Tofautisha kolimba na akina membe,makamba na kinana. Kolimba hakuwa askari. Makamba na kinana wrote askari
  4. Z

    Chama Cha Demokrasia makini chasema tutapata ushindi wa “kisulisuli” katika uchaguzi wa serikali za mitaa

    Mzee kazeeka, miaka 75 sio mchezo. Hata upeo wakutambua vitu, umepunguwa
  5. Z

    Kanisa katoliki lijitafakari

    Askofu asifikili sisi waumini ni wajinga. Askofu asifikili waumini wake wote ni ccm.
  6. Z

    Jimbo la Chato ni marufuku wagombea wa CHADEMA kupewa fomu za uchaguzi wa mtaa. Ni ‘maagizo toka juu’

    Sisi wanaccm, awamu hii ,tumekuwa waoga sana. Niabu kwa chama change ccm. Tubadilike
  7. Z

    Uchaguzi 2020 CCM na Demokrasia pande mbili za sarafu

    Bila pesa huwezi shida kula za maoni ndani ya ccm. Mkono mtupu haulambwi
  8. Z

    Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl. Nyerere, Sehemu ya tatu (3)

    Makundi ndani ya ccm yanatabia ya kutulia kwa mda tu, nakuhakikishia kundi LA lowasa na membe yataungana, in swala LA mda tu wamejifunza kutokana na makosa waliyoyafanya. Nakuhakikishia hawatarudia tena makosa
  9. Z

    Kompyuta Ofisi ya DPP zenye kesi za Uhujumu Uchumi zaibwa

    CPU ndio kila kitu mzee
  10. Z

    Habinder Sethi aomba msamaha na kukiri makosa yanayomkabiri ya Uhujumu Uchumi

    Tatizo wanatuchezea mazingaombwe. Unawaachia kiujanja janja
  11. Z

    Lissu: Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani

    Uchaguzi mkuu 2020utakuwa mgumu sana kwa ccm
  12. Z

    Kuwafukuza Shule wanafunzi 300 ni sawa na kuongeza vibaka 300 mitaani

    Tutakutana 2020 kwenye kura tu.
  13. Z

    IGP Sirro alalamikia unafiki ndani ya Jeshi la Polisi, Changamoto nyingine ni baadhi yetu kujihusisha na siasa

    IGP kakuna roho za watu. Kawaambia ukweli polisi wezake, wafanye kazi , waachane na siasa
  14. Z

    Mwigulu Nchemba ulimkosea nini Mheshimiwa Rais!?

    Kuna mbaazi ya majina hayatarudi hata yakishinda kwenye kura za maoni. Ni swala LA mda tu
Back
Top Bottom