Search results

  1. Nebisirwe

    Vyakula tunavyokula mara kwa mara Tanzania

    Ndugu Wapendwa wasalaam, Naomba nichukue nafasi yenu muda huu niombe msaada wenu wenye kufahamu katika maisha ya kila siku niombe mwana JF yeyote anisaidie kunifahamisha vyakula ambavyo naweza kula kwa siku walau bila kugusa "VYAKULA VYENYE WANGA" Niombe sana msaada huo niombe uzingatie maisha...
  2. Nebisirwe

    Kutumia maji ya limao, Tangawizi na asali kila asubuhi inasaidia kupunguza kitambi?

    Wanajamii nimeona mara kwa mara habari ya kupunguza kitambi na rehemu mwilini watu wakisema ni kunywa maji ya limao, tangawizi na asali naomba kujua ni kwa kiasi gani na kwa muda gani wa kutumia hii dose kupungusa rehemu mwilini?
Back
Top Bottom