Search results

  1. N

    Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

    ubwakameme=cyber cafe
  2. N

    Methali mpya

    Achokoaye jalala huhimili uvundo
  3. N

    CHUO KIKUU inatupa maana halisi ya neno University

    ndaki au zutafindaki
  4. N

    Harddisk!

  5. N

    Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

    diga kosotu = hard disc diski mweko = flash disc diski tepetevu = soft disc diski gandamize = floppy disc gwagula = computer wizard kitingishi = vibrator
  6. N

    Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

    Nashukuru kwa mchango wako. Mobile phone = kibolo kwa misingi gani? nimependezwa na bodimama=motherboad nashuku cpu kuitwa bongo kuu. ile dhana ya processing hupotea tusemapo bongo kuu. Kwangu ni SEKU {SEhemu Kuu ya Uchakataji} au KIKIU {kitengo kikuu cha uchakataji}
  7. N

    Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

    Kanzi - data kibugi - virus kinzarusi - antivirus kilawa - output as in computers KiSaKi [KIhuluku SAdifu cha KIjenetiki] - gmo i.e genetically modified organism rimokonto, kisengeretua, kiungambali, kitenzambali - remote sakura, vinjari - surf amilisha - booting ufuru - sms scanner iitweje?
  8. N

    Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

    pataninga - video
  9. N

    Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

    computer - tarakilishi ict - teknohama (teknolojia ya habari na mawasiliano) frequency - kasimawimbi scratch card - kadihela software - maunzi screen - kiwambo cpu - kku (kitengo kikuu cha uchakataji)
Back
Top Bottom