Search results

  1. Reuben 92

    Hivi ndege imekua ni jambo la kusherekea kwa hapa Tanzania?

    habari za weekend bandugu mle mhala ? Okay nisiwachoshe leo nimeyaona ya mussa kama sio ya filauni hivi ni kweli ndege imekua ni jambo la kusheherekea kweli wabongo bado tuna safari ndefu cha kushangaza makada wa ccm nao wapo humo wakizunguka
  2. Reuben 92

    SUMATRA mkoani Ruvuma je huu ni uungwana?

    Za asubuhi ndugu zangu ni matumaini yangu mmeamka mkiwa salama tena mko na afya njema kwa wagonjwa poleni mtapona tu.okay nisiwachoshe niende kwenye mada tajwa hapo juu Jana Sumatra wameniletea bei elekezi za njia ya MAGAGULA,NGAHOKOLA,MASANGU,CHIPOLE, MLALE ,KIZUKA NA LUSONGA,BEI YA NAULI KWA...
Back
Top Bottom