Search results

  1. Malica husna

    BADO NATAFUTA KAZI WAKUU

    Naitwa husna nina umri wa miaka 21 elimu yangu ni certificate ya kidato cha nne nina ishi dar es salaam kitunda Wakuu natafuta kazi nina uwezo wa kuuza duka na kusimamia biashara Ipasavyo Ni muaaminifu pia kama una kazi nyingine tofauti labda waweza nielekeza naweza ifanya kwa uwezo mkubwa...
  2. Malica husna

    Swali dogo kuhusu Visit Visa

    Habarini wakuu. Hivi bei ya visa ni ngapi. Kwa anae tokea Dubai kuja Tanzania ? Na Utaratibu upoje ?
  3. Malica husna

    Natafuta kazi

    Naitwa husna nina umri wa miaka 21 elimu yangu ni certificate ya kidato cha nne nina ishi dar es salaam kitunda Wakuu natafuta kazi nina uwezo wa kuuza duka na kusimamia biashara Ipasavyo Ni muaminifu mwenye hofu ya mungu pia naweza leta mendeleo katika biashara yako naongea kiswahili na...
  4. Malica husna

    Natafuta kazi ya kuuza duka nina uzoefu nayo

    Mimi naitwa husna naishi dar kitunda natafuta kazi ya kuuza duka la halali maeneo ya dar nina umri wa miaka 21 nina elimu ya kidato cha nne ni Muaminifu na nina heshimu biashara ya mtu pia naweza kusimamia biashara yako na ikaenda sawa sawia naongea ki Swahili na English ni m Tanzania kamili...
Back
Top Bottom