Serekali ya Kenya ilionywa sana kuwa wasiingie Somalia kwenda kuuwa watu lakini walikua wanaenda kuuwa wasomali na kuwabaka huku wakiwa wanapewa go ahead na Marekani na Israel, hayo yaliotokea ni matunda yake
Hata hao ECOWAS wakija kutia kichwakichwa huko kwenye nchi za watu watafanyiwa kuliko...
Ivi nyinyi mna akili kweli? Hayo mambo yapo wazi sana ila mnajitia ukaidi na ugumu jujitoa ufahamu, tena labda nikwambie tu Putin kavumilia sana na ni mvumilivu kupita maelezo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.