Search results

  1. K

    Msaada: Nikiongea na msichana natokwa na ute kama shahawa

    nimeipenda hii mkuu naomba Namba yako ase!!?
  2. K

    Maumivu ya mishipa

    Wadau ivi maumivu ya mishipa sehemu za uume na mishipa inayoshabiana na Kende husababishwa na nini maana nilikuwa napiga sana nyeto sasaivi nimeacha napata hali hii sasa jee Tatizo hili litaacha Au litachukuwa muda gani kuaacha maana linaninyima raha. Na nifanye nini niondokane na tatzo hili.
  3. K

    Msaada: Nikiongea na msichana natokwa na ute kama shahawa

    Habari zenu wana JF siku hizi nimekua kama nina katatizo kamenianza sijui ni tatizo au uginjwa yaani nikiwa naongea na msichana nikitoka baada ya muda natokwa na ute wa shahawa na muda mwingine napomaliza haja ndogo ute wa shahawa unanitoka...Naombeni msaada ndugu.
  4. K

    Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

    napgaga hata mala tano au nne bro nahisi pia kuangalia X crip ndio zimefnya hiv
  5. K

    Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

    Your Exactly Boss napiga sana Nyeto pia now nimeacha nna week mbili lakini still Maumivu yanazidi
  6. K

    Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

    hapo kwenye nyeto uko Right bro maana nishakuwa kama teja mkorea
  7. K

    Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

    Habari zenu wanajamvi, Nakuja mbele yenu waungwana naomba ushauri juu ya hili tatizo la pumbu (korodani) kuuma. Kwa sasa ni zaidi ya mwezi na maumivu yake yamekuwa ni ya kuvuta na si muda wote kuna kipindi hutulia kabisa hata wiki na mara nyingi huwa pumbu ya upande wa kushoto. Vilevile...
  8. K

    Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

    Habari zenu wanajamvi. Nakuja mbele yenu waungwana naomba ushauri juu ya hili tatizo la pumbu (korodani) kuuma. Kwa sasa ni zaidi ya mwezi na maumivu yake yamekuwa ni ya kuvuta na si muda wote kuna kipindi hutulia kabisa hata wiki na mara nyingi huwa pumbu ya upande wa kushoto nishajaribu...
  9. K

    Maumivu ya kifua upande wa kushoto

    Habari wa J.f nimepatwa na tatizo la kusikia maumivu upande wa kifua mkono wa kushoto, maumivu haya nilianza kuyasikia asubuhi nilifanya mazoezi ya push sana na skwashi..je tatizo hili linatokana na nini wazee na nini solution.
Back
Top Bottom