Search results

  1. Lutandagula

    Madai ya watumishi serikalini

    Mimi ni mwajiriwa serikalini tokea mwaka 2011, nimepanda madaraja kwa mujibu wa taratibu na kununi za utumishi mara 2, mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2015 na mara ya pili ilikuwa mwaka 2019. Katika kupanda kwangu kulikuwa na ucheleweshwaji wa ubadilishaji wa mishahara mipya na hivyo serikali...
Back
Top Bottom