Search results

  1. D

    Wenye ndoa acheni tamaa

    <br /> <br /> nakupa hongera sana mdogo wangu, kwa sababu mume wa mtu huwezi kuwa na raha naye na pia uanglie mtu ambae unafuture naye
  2. D

    Mwanaume kutoka nje ya ndoa

    mhh! mtatuua kwa mapresha ya kutuletea mitoto ya nje.
  3. D

    Mwanaume kutoka nje ya ndoa

    kwa hiyo hata wewe inaonekana una mwanamke nje ndio maana unaitete, muogopeni mungu nyie viumbe.
  4. D

    Mwanaume kutoka nje ya ndoa

    jamani achaneni na huyo kiumbe anayeitwa mwanaume, hawaeleweki utampa huduma zote anazostahili, na wakati mwingine wewe ndio unamuomba mfanye lakini bado anahangaika tu. ni ushenzi tu walionao ndio maana ukimwi hauishi. mnauthi kweli nyie wanaume.
Back
Top Bottom