Search results

  1. M

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Andikeni mambo ya kutunga kila siku ila ukweli ni kuwa DSM ni UKAWA. CCM historia. Wabunge chapeni kazi ya kuwatumikia wananchi waliowapa kura.
  2. M

    Kumbe Wabunge wengi wa CHADEMA hawana Elimu ya Juu Kabisa!

    HAMY-D ni mzigo mwingine humu jf ikiwa ni pamoja na kina sixgates. Utendaji wa mtu katika fani yoyote hauna uhusiano na paper qualifications. Ni vile mna upeo mdogo hamuwezi kung'amua kuwa hata marais wa USA km Reagan walikuwa watu wa kawaida lkn waliweza kutawala kwa ufanisi. PM wa zamani...
  3. M

    Mwigulu Nchemba wadanganye wasiokujua

    sixgates anawashwa kila wkt kama kuna hoja ni lazima awaote Mbowe na Slaa. Kipi walikufanya hadi uweweseke hivyo? Tunajua wewe ni kundi moja na mwigulu. Mchumi mwandamizi hawezi kuongea ugoro kila wakati. siasa ni jukumu simplest na kama ameshindwa siasa hawezi kufanya lolote wizarani.
  4. M

    M4C-OPD: Ni Hekaheka kubwa leo (Jan 29, 2014) - Ratiba Kamili hii...

    Zitto mtu mwepesi sana ktk cdm si tishio. Kwanza hadi sasa kitendo cha kukimbilia mahakamani sio mwanachama tena. Ana mpango wa kuzunguka kama nani kwani hana chama. Labda hao magamba wafadhili wake. Kiufupi tamuchungu uko usingizini na imekula kwenu mchana kweupe.
  5. M

    M4C-OPD: Ni Hekaheka kubwa leo (Jan 29, 2014) - Ratiba Kamili hii...

    Wewe tamuchungu umeng"ang"ana na gharama za chopa. Nenda mjengoni ukaulizie pia gharama za jamaa yetu ambae kila kukicha yuko majuu kwa pesa za kodi ya wananchi. Jitahidini mjiendeleze hata baada ya kumaliza shule za kata mpate angalau upeo wa kuchangia mada
  6. M

    Wanademokrasia popote mlipo tembeeni vifua mbele, wahafidhina wameanza sisi tutamaliza kabisa

    Utoto huo mnazunguka kama nani. Sepeni anzisheni chama chenu mnang'ang'ania CDM kwa nini. Mmepewa pesa kidogo na hao wafadhili wenu kanyweni uji mlale. Siasa nyie bado maziwa yako mdomoni. Hakuna muda wa kupoteza kuchangia -----.
  7. M

    Halima Mdee hana jipya

    SLIM SHADE kama jina lilivyo huna jipya juu ya hii clip. Mtamsikia Halima kwenye bomba yuko kwenye chama makini na brain yake iko active. Sasda muendelee na majungu ya vijiweni watu wanapasua nchi kwa chopa kuanika mambo ya kifisadi. Jitayarisheni kisaikolojia kama Bondeni walivyojitarisha...
  8. M

    Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

    Ashton mambo yamewashinda na kwa sasa mko ukingoni. Mambo ya binafsi ya nini hapa jadili mada iliyopo sio kucheza makida. Mmedanganya wananchi siku nyingi sasa mnakwidwa mpaka kamasi liwatoke. Mmetumwa humu kutukana watu bila aibu. Huko ni kukosa adabu na tatizo la elimy ya sekondari za...
  9. M

    Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

    Dk uchwara wewe sasa sio mwanachama hivyo mambo ya cdm achana nayo chapa lapa. Mnang'ang'ania nini si muanzishe chenu? Itabidi ifanyike sensa ya digrii za watu wote kwani mambo mnayofanya hayaonyeshi hata chembe ya usomi. We sema tu ulikuwa pandikizi. Ndio maana hata ile kanuni ya kutukuwa...
  10. M

    Nape aongea na waandishi wa habari leo. Ni baada ya mawaziri aliowaita mizigo kuendelea kupeta

    Ni kweli kabisa hili ni bao la tatu tangu nape aanze kukuru kakara na projects zinazoshindwa kila wakati: Ilikuwa rushwa/ufisadi, kuvua gamba na sasa mawaziri mizigo. Hata apambe maneno namna gani, this is another outright failure of his project. Uzuri mmoja sasa mawaziri mizigo sasa ni icon...
  11. M

    Mwigulu: Ukichukua Vijana watano "Wachumi" wa rika langu lazima niwepo!

    Mchumi gani anayetoa wazo la kuombea uchumi ukue? Tuna taarifa ba uliponea karai na mba sina hakika uliipata wapi vile. Kwa jinsi unavyosema na matammshi inaelekea ni kiwango cha elimu ya sekondari tu. Alijisemea mch msigwa bungeni: Mchango wa prof wa magamba ni sawa na form iv
  12. M

    Chitanda ajiunga na CCM

    Alitumwa na amerudi hola. Kuwa ktk upinzani kunahitaji uhodari na uvumilivu. Watu nyanya kama chitanda hawawezi wameingia kama mapandikizi wa magamba. Wapishe njia watu wapite kutimiza lengo
  13. M

    Vurugu zinaendelea Mahakamani kesi ya Zitto

    Unayejiita Marire acha utoto tunasema njama za magamba na washirika wao hazifiki mbali. CDm hakitikitisiki kwani ni tegemeo la wengi. Wahuni waliopewa buku mbili mbili za gongo haziwezi kuitisha taasisi ya CDM. Unamtaja Wassira/ Kisa cha fisi kufuatilia mkono wa binadamu anaetembea kama...
  14. M

    CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    Dala Dala huna mchango wowote ni ----- tu unaoongelea. N yie ni wale wale mnafikiri kufanya vitimbi magamba yatapona kibano. Hamchomoki hapa mpaka kieleweke na watz wapate nafasi ya kufaidi raslimali za nchi. Mmepora sana tu.
  15. M

    Kesi ya Zitto vs CHADEMA:Kuna mazingira yanaandaliwa ku-influence uamuzi wa mahakama

    Zito hana uzito wowote ni mwepesi tu amekuwa anabebwa siku zote sio mpinzani. Leo imefike mwisho tusahau habari ya mtu mdogo tu ktk chama kilichomtoa matongotongo. Huoni anavyoweweseka sasa? Alifikiri ni jambo rahisi kupingana na chama dume (CDM).
  16. M

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    Mnajihangisha bure issue ya zitto imekwisha na ni hitoria. Mchukueni mkazihe chamahen nan'ang'ania si yenu. Chapeni lapa haa chenu. Kwisheizzk na washirika wake. Ngoma kiua sana hupasuka mapema
  17. M

    Dr. Kitila Mkumbo ni mfano wa kuigwa, nuru iliyokiangazia Chadema 2010 to date

    Mmpeleleke kokote Dr wako unakopenda. Kaanzishe chama chenu mkilee na kukistawisha kififikie hapa siyo kutaka uongozi kwenye jasho la wenzenu. Mamluki utawaona tu hizo sifa za Kitila hazituhusu, nenda naye pub mkapate safari mtuache tufanye mabo ya maana. Issue hii imefungwa rasmi kwani...
  18. M

    Wanaofikiri kuna 'contempt of court' kwenye taarifa ya CC ya CHADEMA, wafanye hivi...

    Hata watumie majina ya Nyakarungu hata Nyakajiwe, watajitokeza wengi juu ya hili jambo hata BUSH LAWYERS tutawapata wengi tu juu ya hili. Tusipoteze muda Sheria na kanuni za Chama zimechukua mkondo wake na waliofuata watu "maarufu" katika chama waondoke nao. Wakaanzishe chama chao kipate sifa...
  19. M

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Mbowe wala hahitaji kuchukua pesa ndogo ya chama kwani pesa anayo na ndio imejenga chama hadi sasa mnatamani kuwa viongozi. Nendeni mkaanzishe vyama vyenu mvijenge ili watu wavitamani. Kwahili imekekula kwenu.
Back
Top Bottom