Watu wanataka upinzani uonyeshe mfano wa uwazi wa matumizi ya fedha ili waaminiwe,halafu una kuja na hoja ya kujilinganisha na CCM ambao unawatuhumu.Kwa maana hiyo hata CDM ni wale wale wezi.
Wewe ulitaka takwimu ya namna gani.Tulieni Rais afanye kazi,mlizoea ujanja ujanja.Fuata sheria ili upate kipato halali,vinginevyo utazeeka vibaya.Magufuli kaza buti.
Rais ameshanunua ndege na amewakabidhi wataalam waendeshe shirika,wewe unataka nini sasa kama sio kutaka kumpotezea muda Rais ili ikifika 2020 mje mtupigie kelele Nchi miaka yote haina ndege.Tulieni,kwa huu unafiki wenu ikulu mtaendelea kuisoma Kwenye magazeti
Wewe ndo sufuri kabisa,unashindwa hata kujua jambo dogo kwamba miaka yote ATCL ilikuwa inaendeshwa na wataalamu hao hao unaowasema.Mwacheni Rais afanye kazi alizotuahidi
Mkuu umenena vema,hawa walizoea cheap politics enzi za Mkwere.Amekuja Magufuli kwa moto wakasema ni Sera Zao,mara ni nguvu ya soda,Magu amebana ujanja ujanja wote waliouzoea wameanza kulalamika.Poor opposition.Magufuli kwa sasa ndio kiongozi anayetufaa ili kudhibiti unafiki wa kiutawala ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.