Suala si kumlilia Kikwete lakini yeye mtu alomwandaa ni mbovu na hafai kwa amemwandaa kwa maslahi yake. JK amemwandaa mtu kwa mrengo wa kueneza udini yaani wanawapigia kelele chadema ili kuwahadaa waislamu lkn ccm ndo yenye mamlaka na ambayo haki nyingi za wananchi wakiwemo waislamu zimeporwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.