Search results

  1. N

    PICHA: MATAWI YA CCM MAREKANI WAHUDHURIA MKUTANO WA CCM DODOMA, Wapewa ROUND TRIP TICKETS na CCM

    "Diasporas" wakiwa huko wanakoishi mnawaponda, ooh Wabeba Box, Njaa Kali, Illegal Immigrants, Wabangaizaji, Wakirudi Bongo mnawabaguwa, eti wanakuja kuchukua kazi zenu, warudi huko huko waliikimbia nchi yao, kila ubaya mnataka kuwapa. Mbona wao wakiwa huko Ughaibuni wanawakaribisha vizuri na kwa...
  2. N

    PICHA: MATAWI YA CCM MAREKANI WAHUDHURIA MKUTANO WA CCM DODOMA, Wapewa ROUND TRIP TICKETS na CCM

    Wewe huoni tija katika nini? Malizia ulichotaka kusema. Why spend so much money to do this? what? Hebu sema unachotaka kukisema hapa usituletee longolongo.
  3. N

    Hawa ndio CCM wa London, mikutano yao hufanyika kizani wasionekane. Wanaogopa nini?

    Nilisha sema hapo awali, huyo Mkenya "Maina Owino" ndiyo ameliuwa hilo Tawi lao la CCM UK na hana sifa za uongozi pamoja na mradi wao wa opena, anauchu wa madaraka na anapenda sifa, ni mlevi sana "cha pombe" ona hilo tumbo, wanachama wengi wa CCM UK wamekwenda CHADEMA. Wamebaki wenyewe katika...
  4. N

    Hawa ndio CCM wa London, mikutano yao hufanyika kizani wasionekane. Wanaogopa nini?

    huyo mwenyekiti wao wa ccm uk ambaye ni mkenya "maina owino" nasikia ni mlevi kupindukia mpaka analala na kukoroma hapo bar ya vicent reading, heshima yake imekwisha kabisa, pia habari za kuaminika zinasema jamaa ni "fisi" la wanawake na ni mkabila sana "jaluo la kenya" na zaidi ndiye yeye...
  5. N

    January Makamba ajifananisha na Sokoine na Mrema, anafanana nao?

    Sasa unaweka maneno ndani ya mdomo wake (Msendekwa) wewe sasa unawataja wengine tena kwa majina, ha! ha! ha! Unacheka la mwenzako? Kweli Nyani Haoni Kundule!
  6. N

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    Wewe unasema CCM Tanzania ambayo ndiyo makao makuu yenu ya Chama wanafanya uchunguzi sasa unatuletea hapa huo ufisadi wenu na wewe ukiwa mmoja wao sisi tufanye nini?Unatuzungusha hapa na utitiri wa maneno yako na huku, hujatueleza hizo fedha zilifikaje huko UK, kwa ajili ya matumizi gani...
  7. N

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    Kumbe na wewe mmakonde bado upo. Ze behind imeanza kukuwasha nini. Welcome back and the trial has just begun
  8. N

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    Hujaacha tu kuwa G..a..y kweli mazoea yana tabu
  9. N

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    Ebo!! Hii ni nini tena? ama umeshaanza kukata viuno kwa kucheza Sebene. Unajiandika na kujicuote mwenyewe, ipo kazi, au ndio msisitizo katika Viroja. Naona kule katika thread yetu na Fredrick Mwakalebela kupata kazi Makumbusho, umetuhama taratiibu!!, wamekufanyia kitu mbaya nini?Napita tu.
Back
Top Bottom