Search results

  1. K

    Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

    Mbona umesahau kusema kuwa waendesha bodaboda wa njombe walilipwa pesa kabla na kujaziwa mafuta kwa ajili ya kujiunga na msafara wa mapokezi yako na kuwapa bendera bure.
  2. K

    Huyu ndiye atakayemuondoa bungeni Nimrod Mkono2015...

    Huyu mkono ndo yule alieshirikiana na wenzake kuiba fedha pale BOT na badae wakaichoma moto na wenzake. Akakimbia nchini, Nyerere alimpiga marufuku kurudi Tanzanian na wale wanaofatiliaMkono alirudi Tanzania baad ya Nyerere kufa. Hata hizo shule anazojenga anapiga picha mazingira halafu...
  3. K

    Mustafa Sabodo atinga Baraza kuu la CHADEMA na kuahidi makubwa

    aliekuwa waziri wa sayansi na elimu ya juu aliwahi kuwaita wa wafanya biashara walioko dar wenye asili ya nyanda za juu ( wakinga, wahehe.........) akawambia kuwa wazawa wanalalamika kuwa ccm haiwapi fursa ya kugombea nyadhifa mbalimbali za kisiasa serikalin il wanawap wafanyabiashara weny...
  4. K

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    yego masika ulio
  5. K

    Dr Slaa: Nionyesheni hati ya muungano ili nami niutambue muungano!

    Udongo wenyewe ulichanganywa na nyerere peke yake. Kwenye picha ya kuchanganya udongo sijawahi kumuona karume anashiriki labda kama vitabu tulivosoma walikosea kuprint picha
  6. K

    Ni makosa makubwa kushinikiza Serikali - Dk Benson Bana

    Dr bana ni mshauri wa kikwete katika siasa kwa mtazamo wangu anafanya swehemu ya kazi yake, ila kiukwele bila sheria huyu hakutakiwa kuwepo duniani maana hata sioni tofauti ya u dr wa kikwete na wa kwake.
  7. K

    Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

    Anajua Dr wa ukweli hatamuonea haya wala huruma kwa yale anayofanya kwa kuwa hashawishiki kirahisi, ndo maana kwa kuangaliaa mbele anaona kabisa kwa kuwa nchi kwa sasa inaimani na CHADEMA hivyo anajribu kuangalia ni kwa jinsi gani atalindwa na yeyote atakae kuja baada yake. Maana ZIMWI LIKUJUALO...
  8. K

    Bungeni kumechachamaa, Msigwa awambia ukweli Usalama wa Taifa kuwa ni usalama wa CCM

    Huyu ni mke wa tambwe hiza aliyekuwa mkurugenzi wa propaganda ccm. Unaweza kupata picha ya hiyo familia jinsi ilivo.
  9. K

    Mwandosya na Lipumba wafanyiwa upasuaji India

    wapo viongozi wachache ambao mimi nimewaona wakitibiwa pale taasisi ya mifupa (MOI). Dr slaa amekuwa akitibiwa pale mkono wake tangu alipoumia wakati kuna vigogo wengine ambao wanapata matatizo kama hayo ya dr wanakwenda nje. Sijui kwa lipumba lakini vigogo wa serikali pamoja na matibabu...
Back
Top Bottom