Search results

  1. B

    Profesa Mbele: Ushikaji bunduki wa Polisi aliyewakamata viongozi CHADEMA unakera

    Mkuu kama umemsoma professor reference point yake ni JKT. Ukiwa kwenye ulinzi na bunduki ilo loaded na ina magazine sharti mtutu uangalie chini. Kinyume chake ni fictious drama tuzionazo kwenye TV na zikiingwa matekeo yake ndio yale tunayoyasikia. JKT ya zama zile na hakika ya sasa silaha...
  2. B

    Profesa Mbele: Ushikaji bunduki wa Polisi aliyewakamata viongozi CHADEMA unakera

    Tusikwepe ukweli. Kwenye majumuiko ya watu au ndani ya jengo mtutu huelekezwa chini na si bingonevyo. Tutofautishe silaha inayobebwa kwenye gwaride maana hiyo ishakaguliwa na mara zote hazina magazine. Tumeshuhudia silaha zikibebwa hovyohovyo na kulipa katoka jua la utosi. Mimi nilishashuhudia...
  3. B

    How JPM misunderstood Political Mathematics and the Dynamics of Power

    Well said bearing in mind that our is one of the huge countries with diversity. We need tap much talents and genius of our people so are natural resources. Do we do that to the maximum? Can this be done if we sideline each in the ranges of our differences? Diversity may be a blessing if used...
  4. B

    Makampuni Makubwa Yatikisika

    Informed inputs to which I concur with you. Another area that must be viewed with strong lensed spectacles is fair play ground which lacking. There's state backed companies can compete fairly with private funded companies and you expect the latter to survive. Mwalimu had once equated this with...
  5. B

    Lowassa awe kielelezo cha kuigwa katika kutimiza malengo yetu

    A very informative analysis. Heri tungekuwa na watu wachambuzi kama wewe kama 10 ndani ya jukwaa hili na hata nje ya hasa kwenye physical political platforms. Lakini bahati mbaya ambayo tunayo ni kuwa sasa hivi mtu angekuwa anatuchambua Watanania walio wengi ni kuwa moja ya sufa tuliokuwa nayo...
  6. B

    Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

    Hata kama Kamati Kuu ya CDM ilikuwa na nia njema kiasi gani ilishindwa kuwa proactive except Dr.Slaa naona ndiye aliyebaki proactive ni Slaa who has decided to stick to values and principles. The rest have decided to make decisions however big they are based on events, conditions, audience moods...
  7. B

    Alichofanya Rais Kikwete Australia ni sahihi?

    Maswali yako ni ya msingi though rethorical na ili upigilie msumari sawasawa ebu uliza " Obama kama ni role model je aungwe mkono katika utetezi wa ndoa za jinsia moja? Bushi alishiriki kuwapiga vita viongozi wa halali wa nchi tena katika maeneo matakatifu, je na yeye alichofanya ni sahii?
  8. B

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Dr Slaa is a kind of a person with abundance mentality visa vis scarcity mentality. Na kwa kuwa tulio wengi tuna roho nyepesi na ubinafsi tunaamisha roho zetu kwake kwa kumtaka atoe kauli. Atoe kauli gani. Lakini baba huyu pia ni mwelewa. Kama kuna hoja ya kumtaka kauli ataweza kuitoa. Hoja...
  9. B

    Kimya hiki kina mshindo wake mkuu

    Shahiri fikirishi na uchambuzi uliobeba umakini na ufasahay wa ujumbe. Lakini bahati mbaya kwa wale ambao ni scarcit y minded wanaotafuta ushindi kwa hila na kwa faida ya yao na wenzi wao ujumbe huu ni kikwazo. Usikate tamaha na wale wanaobeza na wenye double standards mfano mtu mzima anadiriki...
  10. B

    TANZIA John Nyerere afariki dunia

    Poleni sana wafiwa. Mwenyezi Mungu aonaye sirini awaguse mioyo yenu katika kipndi hiki cha sononeko na majonzi. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe
  11. B

    CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Sikuhizi ukienda dukani unauziwa assemblies zenye umma, visu, na openers. Na tunavyo vingi madukani. huku mitaani kuna kunguru wengi na ngedere. tumeshauriwa ili kuwapa scare hao viumbe ni kuweka manati zikininginia juu ya miti.Je, sisi tutakamatwa na kuwa in possession na vifaa vya kijeshi?
  12. B

    Mambo matatu ya kurekebisha ndani ya CHADEMA

    Ningekuwa ni mwalimu ningekupa alama hasi maana sioni ulichoshauri. Propaganda umeambiwa ni kitu kinachokua na kinabadilika hata afadhali ya upepo. Hivi ni katiba gani inayoweza kuzuia negative propaganda who aim is to put people off track? Umeambiwa zimeanza propaganda za chama cha Wachaga...
  13. B

    Mambo matatu ya kurekebisha ndani ya CHADEMA

    Unaweza kuwa na mawazo mazuri lakini tatizo ni kwamba una hisia kuliko facts. What matters is to have the systems and processes that are manageable to remain on course na si kuangalia matukio. CCM imekuwa inarespond kuangalia public mood na nafikiri majority being like vultures term limit usije...
  14. B

    IMF: Uchumi wa Tanzania upo juu kwa asilimia 30 tofauti na ilivyodhaniwa awali

    Dada yangu kidogo nimepata tabu na wewe ulivyochangamkia matokeo ya IMF. Ingekuwa ni vyema vigezo vya ukuaji uchumi vingewekwa na sisi wenyewe kama wasemavyo wahenga kule kwao "the pinch of the shoe is felf by the wear" Na kama tutaamini kwa sababu ya taasisi ya kigeni imesema basi inabidi...
  15. B

    Unafiki wa baadhi ya Maaskofu wa Tanzania

    Umesema vizuri na hakika hata mtu mwingine akitoa welekeo kumbe bado inabaki kuwa uamuzi ni mtu mwenyewe. Hatuna budi kuacha matamko yaendelee kusomwa na kufanyiwa tafakuri maaana si Karidinali Pengo mwenye haki ya kuwa alisemalo ndio lifuatwe na wala hajawa msemaji wa Kanisa Katoliki Tanzania...
  16. B

    Baraza la Maaskofu Katoliki lawataka serikali kuhairisha upigaji kura wa katiba mpya hadi mwakani

    Wewe ni Mkatoliki mzuri in which context au ndio kama padre feki wa Morogoro. Wewe mpaka leo unaishi kwenye kiza kinene unashindwa kutofautisha pesa za ESCROW na zile za VIP zilizotokana na uuzwaji wa hisa halali kwa utaratibu halali na kulipa kodi. Hatuna Mkatoliki mbumbumbu kama wewe maana...
  17. B

    Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    No need beating about a bush. Wewe kama unaona Makene angeandika zaidi ya kile alichokiandika ni vema wewe unakiweka jukwaani watu (sijui) ni kina nani wakusome. Watu ni general terms maana yawezekana wewe na watu wenye msimamo au mawazo yanayofanana ndio hamkulelwa. Mlichokiitaji ni kuomba...
  18. B

    Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    Chamviga; nilipokusoma kwenye post ya kwaza nilikuwa nasubiri the true Chamviga aje kusema kuwa account yake imekuwa hacked lakini sasa kumbe assumption zangu hazikuwa sahii though were positive to you. usimlaumu Ben maana ulichoandika unaweza kukiita assumptions lakini nafikiri hakikuwa guided...
  19. B

    Waziri Samuel Sitta: Watanzania walioko Oman wanataka kupindua Serikali ya Tanzania

    umejibu kwa jaziba mno unkajikuta hata yule unayemkuhukumu kuwa mbaguzi wa waislamu na wewe umetumbukia kwenye shimo lile lile la chuki za wakristu. Kwanza nikukumbushe viongozi wa dini ya kikristu toka madhehebu kadhaa waliungana na kutoa tamko kwa maandishi ya kutokurdhika na jinsi ssita na...
  20. B

    Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

    Hatuko katika mwaka wa biashara hapa maana ulitaka twende kwenye trends hapo ndipo utakapokuta unayetaka kumsifia ni bure maana kwenye fiscal development amekuwa failure
Back
Top Bottom