Search results

  1. M

    Kazi kwenu

    Kujadili mambo yanayohusu nchi si kwamba unajiingiza kwenye siasa, bali ni kujalibu namna ya kuinusuru nchi na lolote baya au kuendeleza jambo jema. Wana jf fungukeni na tokeni katika chupa hiyo nchi hii inahitaji mchango wenu ili iweze kuendelea. Kazi kwenu!
Back
Top Bottom