Search results

  1. P

    Wrong parking agent...usumbufu sana

    Niende kwenye hoja husika , jaman hawa jamaa wa wrong parking wanasumbu sana hasa kwa hapa Arusha, sijui sheria inasemaje unakuta umepata emejenci unamsubir mtu aje muuondoke gafla wanatokea na kukupiga cheni tena dereva akiwa ndani ya gari..je hi ipo sawa sheria inasemaje. Pil niombe uongoz wa...
  2. P

    NDAFU KWENYE HARUSI AU SENDOFF

    Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kwenye harusi au sendoff nyingi kuna kuwa na keki mbili, keki ya unga na Ndafu..naomba kujua hii keki ya ndafu inakuwa na maana gani ktk hizi shuhuli
  3. P

    Nikila najing'ata

    Naomba wataalamu wanijibu kitaalamu ni husababisha kujing'ata wakati wa kula , kuanzia jana najing'ata mara kwa mara wakati wa kula Naomba kuwakilisha
  4. P

    Arusha namanga / Arusha moshi

    Nimeshindwa kuelewa umbali kutoka arusha hadi namanga ni 105 km na nauli yake ni tsh 7000, umbali kutoka Arusha hadi kilimanjaro ni 85 km nauli yake ni tsh 3000. Nashindaa kuelewa tofaut ya kilometa na nauli , kwa nn namanga nauli ipo juu sana
  5. P

    Speed limit

    Ni wazi kabisa kuwa mabasi makubwa takriban yote yamefungwa vidhibit mwendo kama serikali ilivyooeleza, kwa kiuzoefu changu kidogo haya mabazi yakivuka speed iliyowekwa na serikali naona mengi yanatoa alarm jadi sisi abiria tunasikia lakin cha kushangaz mbona maderava hawajali hata hiyo alarm...
Back
Top Bottom