Search results

  1. thetallest

    Kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania Majukumu ya Wakuu wote wa Mikoa yanafanana, hakuna mwenye majukumu mengine

    Endeleeni kumpaisha kijana MAKONDA,hakika ngoma yake mnaicheza barabara
  2. thetallest

    Ni maendeleo gani Makonda aliyoyafanya akiwa mkuu wa mkoa wa DSM?

    Muulize rais Samia atakwambia,watu kapuku kama nyie mtaji wenu ni majungu tu,kalaghabaho
  3. thetallest

    Arusha ijiandae kwa utekaji na matumizi ya nguvu kudhibiti wanaompinga Rais

    Acha wivu wewe mtoto wa kike,shenz tipu
  4. thetallest

    Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

    Acha uchawi wa hadharani wewe goroka,kila mmoja ana mbinu zake za kimedani, Angeingia kimyakimya pia mngesema tu,hovyooooo!!!![emoji41]
  5. thetallest

    Kwanini awamu hii kila kitu wanataka kiitwe jina la Rais. Kunahitajika sheria mahususi

    Yule mzee aliwadobora sana na dole lake la kati,hamna hamu mamaeee!!
  6. thetallest

    Ni ipi ilikuwa nafasi ya mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kifo cha Hayati Magufuli? Kwanini aliacha vyombo vya dola vitafsiri katiba?

    Acha kutuchosha,mfumuko wa bei unatumaliza,ofisi za umma,rushwa na ubadhirifu wa fedha za umma umetamalaki,wewe unaleta za AG,ulikuwa wapi siku zote?
  7. thetallest

    Bwawa la Julius Nyerere mto Rufiji: The Silver Lining!

    Sijui kama chiembe atakuelewa
  8. thetallest

    Wakati Makonda anakwenda Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa tunauliza kuhusu CV yake.

    Cv ni makaratasi,uwezo na talanta ndio la msingi
  9. thetallest

    Chawa wa Makonda wanapambana na Amos Makalla mitandaoni kuliko hata wapinzani

    MAKONDA anawatesa sana, kwanini lakini mnateseka hivyo?,ntombanin'gwe
  10. thetallest

    Simpendi Makonda, lakini nakubaliana na Sera zake

    Bi mkubwa kuna remote inamdrivu
  11. thetallest

    Paul Christian Makonda na safari ya Mussa kuwaokoa Wana wa Israel Misri

    Mmeshindwa kuthibitisha hizo pumba zenu, mara ya kwanza mlidai Magufuli Godfather wake Makonda kafa, hivyo atakiona Cha mtema kuni,ajabu ndio kwanza anagonga mateuzi tu Ficheni upumbavu wenu
Back
Top Bottom