Search results

  1. Mtanzania2017

    Namna ya kuanzisha Radio station

    Mambo vipi wadau naomba kuuliza namna ya kuanzisha Radio Station ni vitu gani natakiwa kuzingatia,taratibu za kufuata ni zipi na equipment zipi ambazo zinahitajika ilikuanzisha Radio Station ya kawaida tu pia Kwa makisio ya kawaida inaweza gharimu shingapi?
Back
Top Bottom