Search results

  1. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Hapo sasa inategemea na lecturer
  2. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Nyie, Uwiiiiii! Mungu ni mwema aysee [emoji1487][emoji1487]. Test Two nimepata 12/15. Nimebakisha 4 niingie UE. Bado Group assigments hazijarudi. Technically nimeshaingia UE japo kwa Mbinde, Nawashukuru wote mlionitia moyo.[emoji1635]
  3. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Ahsante Mkuu
  4. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Duuh, hongera na pole mkuu. Hapo Coict ni kweli ukikaa kiree unaliwa kichwa.
  5. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Second year. Yule sir sidhani, nyie kuna walimu ni nongwa.
  6. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Ha ha ha, anakuja na gari lake afu hapendagi shobo unaweza kujichoresha balaa [emoji1787]
  7. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Duuh, pole sana mkuu kwa hayo yaliyokukuta. Kwa kweli, bora chuo kungekuwa na NECTA yake. Hii mifumo ya kutegemea mtu binafsi issue kama hizi hazikwepeki.
  8. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Kanitisha balaa. What if I have 10m, should I offer him whole amount? [emoji3]
  9. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Rushwa adui wa haki
  10. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Ha ha ha, kwanini mkuu?
  11. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Kiasi gani? [emoji1]
  12. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Ahsante mkuu. Test nimefanya nangojea majibu.
  13. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Walimu wa Law wana misimamo na roho mbaya. S Hongera wewe, hapa nimefanya test two na group assigment. Nangojea majibu!
  14. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Aisee, you played your cards right.
  15. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Sahihi Mkuu.
  16. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Ahsante sana Mkuu.
  17. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Ahsante, Nitazingatia hili next time!
  18. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Anha, Hongera mkuu.
  19. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    [emoji1787] Fafanua mkuu. Imebidi nicheke maana nimenuna siku nzima!
  20. INRI

    Nahitaji ushauri wenu wakuu

    Umenifariji na kunipa tumaini. 8/10 + 7/10 = 15/20. Ulipita kuingia UE maana kwetu hapa kuingia mpaka 16.
Back
Top Bottom