Search results

  1. kasa boy

    Wandugu tatizo uwizi Inyala/ iyunga Mbeya kamwe halitaisha

    Ndugu zangu, wanaharakati wenzangu napenda kuzungumzia suala hili kwa uchungu mkubwa sana hii ni kutokana wiki chache nyuma ulifanyika msako mkali kwa kushirikiana na polisi pamoja wana-mtaa wa Inyala na kufanikisha kuwakamata wezi wote kasoro mmoja tu ndo ambaye hakukamatwa. Cha kushangaza wezi...
  2. kasa boy

    Wizi wa majumbani umekithiri Mbeya Mjini, Kata ya Iyunga, Mtaa wa Inyala.

    Ndugu wananchi, vyombo vya usalama mkoa wa Mbeya. Napenda kutoa taarifa hi kwa Uma na hata vyombo vya Dora vya Mkoa wa Mbeya Mjini kwa ujumla ya kwamba sisi wakazi wa Mtaa wa Inyala tunateseka Sana na vibaka/ wezi ambao wamekuwa wakituibia kila siku mfululizo vyombo mbali mbali vya ndani na hata...
Back
Top Bottom