Kama shule hazitoshi kwanini wasifanye mpango endelevu wakujenga hizo shule za advance ili ziwa fit wanafunzi wrote wenye vgezo...?!?!?!?!?!!; ukizngatia mtu umesoma kwa bidii miaka yote minne ili ufaulu afu unajikuta hujapangiwa shule wakati sifa unazo... Inaumiza sana kwakiasi flan
Mi nashindwa kuelew
Mi nashindwa kuelewa Jamani... Serikali inasema kua ili mtu achaguliwe kidato cha tano anapaswa kua na dvs 1 2 na 3 tena alie balan
Mi nashangaa jamani... Serikal yangu cjui Ina nini kiukweli.... Wao wenyew wametoa tangazo la mtu kujiunga na kidato cha tano anatakiwa awe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.