Search results

  1. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Issue kubwa ya Tz, ni Grid stabilization walisign project ya ku stabilize grid kwa 1.9trillion .Imefikiwa wapi?
  2. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sisi locomotive zina 5000 kw
  3. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Aiseh, nimecheka sana
  4. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Habari ya 2022
  5. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Leased
  6. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Poleni, ila mna ndege Nzee sana
  7. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kinacho i cost Air Tanzania sio kwamba tunanunua ndege sana . Ni matatizo yafwatayo 1. A220s ziko 4 ila ndege hizi sio tu kwa Tanzania bali dunia nzima zimekuwa zikipata shida sana . Hivyo imekuwa shida kupata consitency .Na hii ni tatizo la engine za PW kama unajua A220s ni new planes with...
  8. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Arusha rarely inatoa timu kushiriki ligi kuu so i get the point why ni 30k , na pia ina running tracks. Ndo actually wakimbiaji wengi hutokea mikoa ya pande za huko. So multipurpose inaeleweka
  9. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wametaja chochote kuhusu Dodoma Stadium ? Na je kuna plan za Ujenzi au Afcon ni Dar , Arusha na Zanzibar
  10. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwa bei ya sasa hizi ni sawa tu mzee , naona pia wanajenga na uwanja wa mazoezi naona kama na indoor stadium pembeni , unless wasifwate render , hyo ni kama 110mil usd , Uwanja wa Tottenham hotspurs unabeba 65k people na umecost 10x about 1bn usd
  11. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Residential building
  12. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Might come back when we fully exploit our LNG , unlike Nairobi, ambayo ni commercial na Govt Hub , All Govt offices are in Dodoma now . So that made Dar fall back kwa muda,
  13. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Its mainly office tower tho, so i dont expect much from it ,most people hace rented TPA tower which is cheaper than PSPF
  14. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kama ni mimi ningekua nafanya maamuzi ningefanya yafwatayo 1. Redevelop Mkapa stadium to 75k seats by removing race tracks na kuongeza seats mbele kidogo 2, Kufanya Uhuru stadium kuwa 30k wenye seats na racing tracks 3. Dodoma stadium 40-45k seats(NEW 4. Arusha stadium 40-45k seats (NEW 5...
  15. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Issue kubwa sometimes huwa ni grid , ndo maana walisign project ya grid stabilization ya 1.9 trillion tsh sijui imefika wapi? kama JNHPP ikianza issue ya supply itakuwa solved
  16. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Good project ,if done well ita decongest Dar sana , plus itafanya eneo la kwala kukua kiuchumi kama a transport hub , watu watajenga Guest houses , kutakua na masoko etc
  17. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Yeah washugulikie kwanza kumaliza hotel yao ya mwanza , Mzizima tower na Kiwanda cha sukari , ili kama wakiingia hii nyingne angalu zile ziwe zina run . Plus unaona Mwanza airport ikiwa kubwa na kuhitaji 4 star Hotel soon ?
  18. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Though hio 1,797343 million ni data ya november 2023 , bado december 2023 so we might be somewehere near 2million + though not point 7
  19. Tz_one

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://trumpetnews.co.ug/2024/01/25/air-tanzania-revolutionizes-cargo-operations-in-uganda/ Waganda wanasema Air Tz Cargo , B767 300F ni modern na price ni nzuri so possibly itatumika sana , imetoka kushusha mzgo wa madawa na chanjo 49 tonnes na december ilishusha 40 tonnes,.. kwa mwenendo...
Back
Top Bottom