Search results

  1. silence noise

    MREJESHO: shukrani kwa ushauri wenu, nimejua tatizo lililonisumbua kwa miaka mingi

    Habari wana jf doctor. Ninayo furaha kubwa sana kuwajulisha na kuwashukuru wote kwa wawazo yenu nilipoleta tatizo langu la kichwa. Wengi mlinishauri kuwahi hospitalini, nilifanya hivyo lakini nilikwenda Muhimbili badala ya private baada ya kusikia wameboresha huduma. Nilifanyiwa ct scan ya...
  2. silence noise

    Msaada haraka tafadhali kichwa kinanikosesha amani ya kuishi

    Jamani naombeni ushauri. Nina umri wa miaka 33 kwa sasa na ni mwl sekondari. Ninasumbuliwa sana na kichwa na kimeanza muda mrefu. Kwa kumbukumbu zangu nahisi niliumia utotoni, kuna siku tulikuwa tunacheza nilianguka nikitanguliza kichwa chini na nakumbuka siku hio nililala siku nzima na...
Back
Top Bottom