Search results

  1. C

    Chama cha Polepole ni uzalendo, kisasi au tamaa?

    Leo wigo wa siasa nchini utaandika ukurasa mwingine kwa ujio wa chama kipya. Ni chama kilichoasisiwa na Ndugu Humphrey Polepole, ambaye si siku nyingi alikuwa mwanachama wa CCM, na kwa kweli si tu mwanachama alikuwa kiongozi wa juu kiasi cha kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho. Kama hiyo...
  2. C

    Katibu wa CCM Meru Hatoshi ni mla rushwa

    Katibu wa CCM Meru ndugu Mfanga anatuhumiwa kwa vitendo vya rushwa vilivyokithiri ikiwemo kuwaambia watangaza nia wa udiwani kuwa watoe laki tano tano ili awapitishe kwenye udiwani. Sekretarieti CCM ya wilaya ya Meru ikiongozwa na katibu wa CCM Ndugu Mfanga ambaye ndiye mwenyekiti sekretarieti...
  3. C

    Mbunge wa Igalula agawa rushwa ya 20,000 kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya

    Mbunge wa Igalula Musa Ntimizi atoa rushwa ya tsh 20,000 kwa kila mjumbe baada ya kukosa watu katika kwenye mikutano yake.Mbunge huyu ameikimbia mikutano ya hadhara aliyokuwa anaifanya kata ya Goweko na Nsololo baada ya kushindwa kujibu maswal ya wananchi wachache waliohudhuria,wananchi hao...
  4. C

    Mbunge wa Longido, Dr Steven Lemomo Kiruswa ameonyesha uwezo mzuri sana Bungeni

    Ni mbunge wa jimbo la Longido lililoko mkoa wa Arusha, japo alichelewa kuingia bungeni kutokana na figisu figisu alizofanyiwa ila mwisho wa siku alishinda na kupata kibali cha kuwatumikia Wananchi wa Longido kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi...
Back
Top Bottom