Search results

  1. Mkenya halisi

    Je, nikichukua mkojo wa mtoto jioni kwa ajili ya kuupeleka kesho yake kwa ajili ya vipimo utafaa?

    Sababu ushaamua kumpeleka hospitali nivyema swali hilo ummulize doctor akiitaji mkojo wa mwao
  2. Mkenya halisi

    Nimefanikisha kutimiza ndoto za binti wangu wa kazi

    Hongera sana kaka pamoja na mkeo, mwenyezi Mungu atazidi kuwalipa kwa tendo jema mliomfanyia huyo dada wa kazi.
  3. Mkenya halisi

    Binti wa namna hii unamfanyaje?

    Acha masiara we kapime afya yako muhimu.
  4. Mkenya halisi

    Huyu Member anadhani amenila hiyo Pesa. Haja calculate jambo moja muhimu

    Pole kwa yalio kusibu mku, forgive and forget.
  5. Mkenya halisi

    Sina imani na kiumbe anaeitwa mwanamke

    Unge stick na mada ya mkeo,Ila mambo na kutoa siri ya wateja zako si ungwana kabisa. Kuchapiwa siri ya ndani.
  6. Mkenya halisi

    Tunavyotakiwa kuishi na mwanamke wa sasa

    Naona una hasira nao!! Pole kwa yaliokukuta.
  7. Mkenya halisi

    Nifanye nini kumsahau huyu jamaa

    Tueleze kosa lililotokea tuangalie uzito wake, ndio tuweze kukushauri vyema
  8. Mkenya halisi

    Wajuzi wa mambo naomba msaada kwa hili

    Wacha tumsaidie mistari ili akupe roho yako itulie, naona ndiounacho hitaji kwa huyo kaka.
  9. Mkenya halisi

    Nyie mnao wapangia nyumba wake zenu, wanaliwa huku

    Kwa mada hii inabidi tuwabebe wake zetu makazini manake loo..
  10. Mkenya halisi

    Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

    Mpango wa kando unachangia pia
  11. Mkenya halisi

    kwanini unafumba macho wakati wakumake love?

    Kwa maoni yangu tu sababu kuu ya kufumba macho ni kuambukizana ma pepo watamu.
  12. Mkenya halisi

    Ulifanyaje

    Mi nliwaza baada ya miezi tisa ntaitwa baba.
  13. Mkenya halisi

    Mwanamke gani ungependa umuoe?

    Nakuunga mkono mkuu nimeangalia profile picture yake loo nakubali.
  14. Mkenya halisi

    Wapenzi wa zamani kukutana na kufanya mapenzi 'kupasha kiporo'

    Viporo sometimes vinakuwa hatari sana mkuu, unaweza kirudia kukila kumbe kishaoza tayari loo!!
  15. Mkenya halisi

    Sema sababu iliyokutenganisha wewe na mpenzi wako wa zamani

    Hapo Kwa "ukiingia tuu hyo harufuu". Inamaana huyo kaka pua zake zilikuwa gonjwa hazi hisi harufu!! Looo.. hatari hiyo. Pole dada
  16. Mkenya halisi

    Nitawezaje kumsahau mtu niliyekaa nae zaidi ya miaka mitano

    Hata uliekaa naye dakika moja mkapeana huwezi msahau, so we achia tu usonge mbele ndio kusahau uko
Back
Top Bottom