Search results

  1. O

    Inachukua muda gani kuwa totally fit baada ya kuikana chaputa?

    Nina miezi kama 5 HV baada ya kurudisha kadi ya CHAPUTA baada ya kuitumikia kwa miaka 4 😂😂. Nimeamua kutulia ili nisije kutia aibu baadae,so kwa wale wazoefu itachukua muda gani hali ya kiuanaume kupafom vizuri kitandani?Maana naogopa hata kumilki msichana kwa sasa!!!
Back
Top Bottom