Search results

  1. Dindira

    Gharama za DStv Bomba

    Hatimae wamerudisha service 9 good hours after paying. DStv mmelewa madaraka ya kuongoza katika hii sector Tanzania. Waulizeni TTCL. Enzi hizo waliringa Siku hizi je? Mimi ninaona tuwape pole.
  2. Dindira

    Tarehe 1 Juni, 2019 Hakuna Kutumia Mifuko ya Plastiki

    Condom sio plastic. Ni rubber
  3. Dindira

    Tarehe 1 Juni, 2019 Hakuna Kutumia Mifuko ya Plastiki

    Makamba alishasema uwaziri ni kama koti la kuazima. Yuko tayari kulirudisha kwa wenyewe.
  4. Dindira

    Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

    Kufunga DStv badala ya AZAM TV
  5. Dindira

    Gharama za DStv Bomba

    DStv your input on this please...
  6. Dindira

    Gharama za DStv Bomba

    Haya ni Majibu mepesimepesi
  7. Dindira

    Gharama za DStv Bomba

    For how long my dear friend. It is now 20.30 PM while I paid before 14.00 If there is a problem at DStv, please share it. I have now spoken to 5 customer service ladies. Nothing doing apart from promises of " we will call back" and they forget/deliberately neglect to call back.
  8. Dindira

    Gharama za DStv Bomba

    DStv? Are you serious? Kama nilisafiri wakati sijalipia ila mfanyakazi wenu akaamua kuendelea kutokata huduma, mnaweza kweli hadharani bila soni tena mbele ya competitors mkasema mlinicharge kwasababu hamkukata service. Yaani una ni punish kwa kosa ambalo singejua kama DStv wanafanya kosa...
  9. Dindira

    Gharama za DStv Bomba

    DStv. Your input please
  10. Dindira

    Gharama za DStv Bomba

    Uwe umejipanga lakini. Usije ukakuta nimepanda mpapai nyumbani
  11. Dindira

    Gharama za DStv Bomba

    DStv. Say something
  12. Dindira

    Gharama za DStv Bomba

    Dear DStv customer service, Today I paid reconnection fees @19,000 around 13hrs. Wonderfully enough I have not been connected till now. Ningelipia premium ingekula kwangu. My IUC 7029243022 What do you want me to think if some of your competitors do reconnect automatically. I have called your...
  13. Dindira

    Gharama za DStv Bomba

    Wakuu, waungwana na waheshimiwa. Hebu nijuzeni gharama ya kifurushi cha DStv bomba. Natanguliza shukran
  14. Dindira

    Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

    Mengi alikua amenanfika WILL acheni ku speculate
  15. Dindira

    Yalitaka kutokea mauaji ya Halaiki Hapa Magomeni muda huu

    Sawa na mtu anaepiga Chapo ya mwanamke anayemtamani halafu mbaya wake ndio anafukua madini tena wakati mwingine mpaka makinikia(tigo)
  16. Dindira

    Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

    Lini uliona his books of accounts?
  17. Dindira

    Kweli tochi hatari

    Siku hizi Dar Moro masaa 5 mpaka 6. Kuna enzi Dar Moro masaa 2 au chini ya hapo. Sasa hivi Dar Kongowe masaa 2 au moja na nusu. Sababu sio tochi ila wingi wa malori na barabara mbovu
  18. Dindira

    Kweli tochi hatari

    Ndio wewe uko mbele yetu na Vitz nyeusi?
  19. Dindira

    Yalitaka kutokea mauaji ya Halaiki Hapa Magomeni muda huu

    Kushinda na njaa ni kugumu kama sio muislamu wa haki. Ndio maana wanataka kumalizia hasira zao kwa chalii anaefaidi chapati ambazo walikua wanazitamani. Ni kama mtu anaeshabikia mzinzi anaezini na mwanamke asiye na mume apigwe kisa tu wenyewe wameshindwa kumtongoza.
  20. Dindira

    Yalitaka kutokea mauaji ya Halaiki Hapa Magomeni muda huu

    Wanao waita wenzao makafir dini ya kiislamu hawaijui na wanao wachukia waislamu humu ukristo hawaijui. 1. Amri iliyo kuu inasema mpende Mungu wako kwa akili zako zote, kwa nguvu zako zote na kwa moyo wako wote. 2. Mpende jirani yako kama nafsi yako. Waislamu wanaojua Quran ambao humu sijui kama...
Back
Top Bottom