Search results

  1. A

    Kazi katika ofice ya mkuu wa mkoa

    tumesoma kuondokana na ujinga ila kuna wengine wamebaki na uhinga wao.
  2. A

    mabosi Wa Kihindi Ni Washenzi

    Mie nafanya nao ciwawazi wala nini mwanzo nilikua nawaogopa ila sasa nimekua nunda hata angenitukana kibangla me poa et we pay u lots of money bt u doing nothing me nawatukana hata kwa kiluga. Na uliza ni bei gani wanalipa ni full kuibiana sena shida ya ajira ndo inatupeleka huko japo...
  3. A

    Haya ndio madudu yaliyotokea kwenye usaili tare 15.12.2012, Kinachoendelea UTUMISHI ni kiini macho

    Mambo mengine yanakera hasa ukiwa na akili timamu huwezi kuyasupport mana ni wizi mtupu.pole mwaya mdau
  4. A

    Utumishi mjichunguze kuhusu uadilifu wa kazi yenu,baadhi yenu sio waaaminifu

    We are not the same BUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!
  5. A

    Utumishi wameita Interview.

    Ni kqweli kwamba kukata tamaa ni dhambi ila kwa akili yangu timamu jina limetoka kwenye watu 1077 kuna bahati kweli hapoooo! Najitoa bure bure bure kabisa.
  6. A

    Siombi tena kazi za utumishi

    Usishangae wala usichoke wala haupo peke yako kiongoz. Mimi nimefanya interview zao sasa ni saba na sijabahatika kuingia oral hata 1 cha kushangaza kuna moja juz kati nilifanya kwa mkuu wa mkoa wa klm nilijibu vzr had nikafurah matokeo 40 hahaha nilijidharau na ndipo niliposema sitafanya tena...
  7. A

    Katibu Mkuu Wa Sekretarieti Ya Ajira Unawaambia Nini Watanzania,,,,??

    Yana kinabore kinakera kwanza unaitwa kwenye interv unaambiwa kuna timu ya simba na yanga tafsir yake ni nini? Kiyu kingine wafanye selection yao kwanza kabla ya kuwaita watu kibao tunateseka na ndo mana tunazid kuwa masikini mana hata kidogo ulichonacho ni nauli ya kufanya interv ambazo...
  8. A

    High quality vision research company(hqrv)

    Hahahahah umefanya vizur mana na mimi niliomba wakanitumia email na document fulani hiv ila kilichonishangaza ile mesege imeandikwa kiingereza kigumu kiasi kwamba kuna baadhi ya maneno yaninishinda halafu haiendani na messege iliyoiko kwenye document. Kingine kama ni Research company mbona...
  9. A

    Nimeitwa interview UDOM lakini sitaenda...

    mkuu kama roho imesita usipoteze mda wako parangana na kazi zako mwanawani c nakukatisha tamaa wala nini hapo udom ni pagumu.
  10. A

    Tusikatishane tamaa kuhusu sekretarieti ya ajira

    sina comment ila kilichotokea usaili wa weo kwa mikoani ni aibu tupu eti haiwezekani ma intellectual na akili zao watufanyishe interview watu zaid ya 70 wachaguliwe 5 kuingia oral na 7 watoke kwenye 98 huu ni ubabaishaji na usumbufu.wanaochaguliwa mtoto wa mkulima 1 rejesha hatufichani bana zali...
  11. A

    Msaada wa update kwa waliofanya interview leo pale ifm

    Wadau kama mshapata taarifa yoyote tujuzane mana sisi wa mkoa tukizid kukaa hapa mjini tutakosa nauli so plz kwa mwenye taarifa.
  12. A

    ushauri wa buree kwa applicants

    Hii story inavutia japo ipo kimbea ila inafundishajeeeeeee. Mi mi niliwahi kutuma application siku moja bila hata kuedit title ya kazi mf Ref. ................................ bila kubadili nikatuma hivyo hivyo baadae nikawa naperuzz ile appl nikakuta ni commed japo nilichukua, niliona aibu na...
  13. A

    Naomba Update kwa mikoa ambayo hawajapanga tarehe ya interview ya tarehe 1-5 october

    Kwa yoyote atakayepata apdate ya interview kwa mikoa kama dar klm tanga na Arusha tujuzane plz.
  14. A

    Afisa mtendaji mikoani

    Kwa uzoefu wangu tu hawa watu wa utumishi wakitangaza usaili huwa hawawahusishi kabisa wahusika wa pale eneo la interv ila kwa hili tunaona itakuaje wapo wengi lamda watagawana majukumu
  15. A

    Taarifa: Utumishi wameita watu ktk usaili zile nafasi 2285 za trh 25/05/2012

    Jamani wadau mkoa wa kilimanjaro hawajaweka tarehe ya mchujo so naomba tupeane info kwa atakayewah kupata taarifa mana hizi tarehe zimegongana na zile za maafisa tarafa.
  16. A

    ajira mpya utumishi

    Namimi sizungumzii psm bali ni psrs mkuu
Back
Top Bottom