Search results

  1. M

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Ukanda na Ukabila ni kitu kimoja! Wamestukia dili mapema wakasepa..... Mwanza wako vizuri zaidi maana ni wajanja, hawadanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  2. M

    Picha za Mtuhumiwa wa mauaji ya Padre Zanzibar

    Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 alikuwa mgombea wa uwakilishi (na kushindwa) wa jimbo la Raha Leo kwa tiketi ya CUF, Zanzibar.
  3. M

    Waunguja wawabagua Wapemba

    Vipeperushi hivi vimesambazwa kwa kasi jana katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar vikiwa na ujumbe unaowataka Wapemba waondoke Unguja na kurudi kwao Pemba wakajipange huko kuukataa Muungano. Sehemu ya waraka huo - angalia kiambatanisho.... UPDATED:
  4. M

    CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

    Huyo ametumwa na magamba kuja kujikosha humu. Hata hii tafsiri SIMPLE kabisa kama hii haitambui kuwa MAGAMBA YAMETTI AMRI YA PEOPLE'S POWER!! Sugu aliweka bayana kabisa kuwa huu si upepo, ni dhoruba, na kama nyumba hazitaanguka basi mapaa yatang'oka. Sasa nyumba zinaanguka hata kabla ya NGUVU YA...
Back
Top Bottom