Bro chige, thanks so much. We argued these things again and again. Walitubishia na sasa mengi yanajidhihirisha waziwazi. Lakini tuwe wapole tu. Mi naamini bado yapo mengi ya kushangaza yanakuja.
To be fair, the term win-win situation in this world does exist, but hardly to find it, at least...
Fact? Ila wewe jamaa ni kimeo sana, yaani kila siku tunasoma redundancy wewe unasema fact? Hebu nitajie economic reform moja tu ambayo awamu hii imeifanya. Au Kodi ya kitambulisho cha wamachinga? Anyway, sikukaa mitaa ya Charles bridge kwa kubaatisha ndugu, naelewa sana nachokisema.
Mpaka sasa hakuna reform yoyote ambayo ameifanya, sijui nyie mnatumia vigezo gani kuamini huyu mtu anafanya economic transformation. Hebu niambieni, ni economic transformation gani aliyofanya ambayo ni prospective. Yaani mtu anayetumia 1/3 ya bajeti yake mwenyewe ndio mnaona mwana mageuzi.
Nakuomba usije badili ID tu. Ubaki nayo hii hii. Kule kwetu TAWA tunachojua ni kwamba waluguru wa nyingwa huwa wabishi sana. Huenda wewe ni Kobello wa Nyingwa hivyo sishangai sana.
Sasa hiyo reconciliation si ndio mliotakiwa muanze nayo kabla ya hii taharuki yote mlioileta au vipi?. Watu wazima mnafanyaje mambo kama hamjua jamani. Sasa mmeshaharibu biashara ya watu halafu mje na reconciliation? Taharuki mlioiweka itakuwa na maana tu ikiwa 2+2=4! Lakini kama methodology ya...
Knowledge diffusion haina IPR mkuu, only technology ndio ina hayo usemayo. Mimi wala siulizi "formula" kwasababu najua hakuna formula kwenye development. Lau ukiona vipi, nitajie hao walio-develop hizo model au ni vitabu vipi hivyo (authors) maana bahati nzuri wiki hii nipo kwenye event moja...
Nionyeshe niliposema "in a year". Kweli nilisema tunaweza kuelekea Zimbabwe, na bado naamini hivyo, unless kuwe na policy changes. Is a matter of time tu. Nimesema JK alikuwa na mapungufu yake lakini siyo namna yalivyokuwa exaggerated na Mheshimiwa wetu. Mwisho wa siku nadhani unashuhudia...
Hahahahaa, haya mkuu. Mimi ahadi yangu ipo palepale, nitachoma vyeti vyangu vyote vya ujuzi LIVE kama sera tunazoenda nazo zitaleta positive impact "by choice'; unless "by products" au tufanye "total return". Ukifuatilia post zangu za wakati wa uchaguzi, mimi nilikuwa abiria muhimu sana wa...
Una uelewa wa kutosha wa Taxing Natural Resources? Unaweza kutusaidia angalau Model 3 hadi 5 za kutoza kodi katika sekta hiyo kama ulivyobainisha na wapi zimetumika na kuleta mafanikio hapa Duniani kwa nchi masikini? Leave away Norway, Malaysia na Botswana (of course na baadhi ya nchi chache za...
Nikikumbuka operation vijiji, Azimio la Arusha, utendaji wa tume ya bwana Rubambe (PSRC), mipango yote hii ilikuwa na nia njema sana. Lakini matokeo yake tunayasoma kwenye vitabu vya historia leo hii. So far, mpango wa kimaendeleo uliopata angalau kuita mafanikio ni UPE(Universal Primary...
Natamani kuchangia huu uzi, ila kwanza nataka nijiridhishe. Mtoa mada FisadiKuu sio wewe tuliokuwa na mijadala kadhaa humu juu ya Uchumi wa Magu na muelekeo wake? Mimi nikiwa na chige kwa upande mmoja, wewe ukiwa na mchumi wako Kobello ? Just curious to know!
Sikupenda nikujibu kwasababu umeshachagua upande. Lakini nitakujibu ikiwa ni mara ya mwisho kisha wewe amini unavyaomini. Nimkuwekea website inayoonyesha mlolongo wa ndege husika. Hukutaka kuaamini. SASA UMEULIZA KWANI HIYO NDEGE NI READYMADE AU WAMEPEWA WATENGENEZE?
Link hii ni ya jarida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.