Search results

  1. donacianm

    Tulipopata GPA za upper second class and above tukutane hapa

    GPA haina faida kitaaa kama hupambani
  2. donacianm

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Songea ni makao makuu ya mkoa wa Ruvuma. So mdau yuko sahihi
  3. donacianm

    Nataka niende Singida kwa mara ya kwanza

    Esther pia basi na nauli 30000 unafika kuanzia saa 11 jioni nakuendeleaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. donacianm

    Mfanyabiashara jijini Mwanza, Pravin Shah anatuhumiwa kuingiza sukari kwa magendo

    Hiyo ni chuki na sio wivu. Sababu chuki inahusisha alienacho na ambae hana hicho kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. donacianm

    MSAADA: Basi la abiria zuri la Mbeya hadi Mwanza

    Hiyo haipo saivi. Basi zipo mbili Isamilo na Premier na Turu best yakuishi Singida. Best line ilishabadilishwa jina now inaitwa Serengeti line inaenda Dar to Mwanza
  6. donacianm

    MSAADA: Basi la abiria zuri la Mbeya hadi Mwanza

    Isamilo ndo angalau utawahi kufika
  7. donacianm

    Hakuna watu wanaopenda kujisifu kama wacheza drafti

    Namjua huyo mzee wa mafiati
  8. donacianm

    Kanisa la Luthean kumzika Mengi ni udhaifu mkubwa

    Huwezi kuona sababu wewe sio mlutheri
  9. donacianm

    Kanisa la Luthean kumzika Mengi ni udhaifu mkubwa

    Nimegundua kwanza hujui sheria za KKKT ndicho kinachokusumbua ila walio walutheri wanajua hicho kiapo cha ndoa.
  10. donacianm

    Kanisa la Luthean kumzika Mengi ni udhaifu mkubwa

    Imeandikwa kwenye liturugià UK 423 tafuta ukosame
  11. donacianm

    Kanisa la Luthean kumzika Mengi ni udhaifu mkubwa

    Kanisa halijaonyosha udhaifu bali kwa wasiojua sheria za KKKT ndo wanaona udhaifu
  12. donacianm

    Kanisa la Luthean kumzika Mengi ni udhaifu mkubwa

    Sheria za KKKT ziko hivyo hata mwenywew nikula hicho kiapo cha hadi kifo kitakapotunganisha.
  13. donacianm

    Kanisa la Luthean kumzika Mengi ni udhaifu mkubwa

    Huwa sio lazima iwe jumapili hata Ofisi kwa mchungaji inaruhusiwa kinachoangaliwa ni kuongozwa sala ya kurudi kundini. So kanisa liko sahihi
  14. donacianm

    KKKT na mtego kwenye msiba wa Mengi

    Hìyo semina liipata mwaka jana wakati nafunga ndoa KKKT.
Back
Top Bottom