Search results

  1. H

    Kukosa hamu ya kula kwa mama mjamzito

    Habari wakuu, Mimi ni mjamzito wa wiki 24 kwa sasa naona kuna hali ambayo inanikuta sasa sijui ni kawaida au lah,Mimi nakosa hamu ya kula vitu vyote yani sina hamu ya kula chochote na kwa sababu nasikia njaa huwa nakula ilimradi siku ziende. Je, hii hali ni ya kawaida kwa wajawazito au ni...
  2. H

    Kupata choo cha rangi nyeusi kwa mjamzito inasababishwa na nini?

    Habari wana jamvi, mimi nina ujauzito wa miezi miwili toka nimegundua ni mjamzito nakwenda haja kubwa kuliko kawaida yangu na choo kinakuwa cha rangi nyeusi je tatizo ni nini? Mboga za majani hazipandi zaidi ya matembele yenye ndimu, lakini najitahidi sana kula matunda kwa siku lazima nile...
  3. H

    Viwanda vya kutengeneza nguo za vitenge na kanga vinakua, tumeanza kukubali vya kwetu

    Wakuu habari zenu,nafurahi kuwa siku hizi hivi viwanda vya kutengeneza nguo kama vitenge na kanga vinakuwa na tumeanza kukubali vitu vyetu,nawashauri watu wasiogope kuingia kwenye biashara hii ya ushonaji. Uzi huu naleta picha za nguo zinazoshonwa kwa khanga na vitenge vya hapa kwetu.
Back
Top Bottom