Search results

  1. Al Pacino

    Mukama awakana akina Nnauye; Hakuna atakayeshughulikiwa ndani ya siku 90!

    Kwa nini hawa the so called "mafisadi" wanaogopwa? watanzania lazima tujifunze toka nchi nyingine ambako hata wakuu wa dola wamefikishwa mahakamani kujibu mashtaka kuhusiana na rushwa kwa mfano; huko zambia ambako mkuu kabisa wa dola na raisi mstaafu alifikishwa kizimbani kujibu mashtaka ya...
  2. Al Pacino

    Mrema na Cheyo waomba CHADEMA ifutwe

    Tuwapuuze mzee upara na huyo Lyatonga; Natapata tabu sana kumuelewa mzee upara akiongea kwani anavunja maneno sanaaaaaaaaaaa!!!!! Huyo lyatonga nadhani diabates zinamsumbua na moja ya indicators za ugonjwa huu ni kuongea pumba!!
Back
Top Bottom