Search results

  1. S

    International Medical and Technology University (IMTU) - Special thread

    huna cha kuuliza ?ngona siku ukiumwa ndiyo hayo maneno yako umuulize daktari inaonyesha huji dunia inakwendaje mungu akusamehe
  2. S

    International Medical and Technology University (IMTU) - Special thread

    Kuhusu sakata la chuo kikuu cha tiba na teknologia, IMTU tunaomba Rais uliingilie kati utoe tamko moja maana ukimya wa vyombo husika utaleta mtafaruku wa hali ya juu kuna ufisadi ndani yake. Baba Kikwete tunategemea sasa ni wakati wako wakutoa tamko rasmi kuhusu imtu maana wizara ya elimu kwa...
  3. S

    International Medical and Technology University (IMTU) - Special thread

    chuo wanarudisha kwa makundi but hakuna kurudi hiyo tarehe maana hakuna dai letu lililojibiwa,wanaftufanya ni kichwa cha mwendawazimu chakujifunzia kunyoa,umoja wetu ndiyo silaha yetu wanatumia njia mbalimbali watumalizie ila kuna nguvu ya mungu, wanatafuta mrudi wametuma meseji kwa wazazi na...
  4. S

    International Medical and Technology University (IMTU) - Special thread

    Inasikitisha sana kuona madaktari wetu wajao wanavyoteseka na swala la ada. Hivi kwa mtindo huu huduma zitakuwa ni nzuri maana elimu wanapata kwa mateso milioni saba na laki mbili si mchezo hapo hajkula hajui atalala wapi wala kitabu. Hebu serikali ingila kati na pia kwa upande wangu naona...
Back
Top Bottom