Search results

  1. Alisina

    Wasipokuwa makini kwa hili nchi itajigawa kimakundi

    Nyinyi ni miongoni mwa wendewazimu hapa Tanzania/Tanganyika,mnaodhani na kuamini kwamba Kila raia ni Simba na Yanga. Watu tupo na Eagle Fc/Kinyamkela FC/Chupukizi Fc,
  2. Alisina

    Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali

    Miaka ya 2020, nilikuwa nalipigia kelele away goal UEFA champions league,kwamba liondolewe,kanuni hiyo niliiona inamapungufu mengi sana kwa soka la kisasa. Kuna wadau walikuwa wananipinga sana,,Ukisikiliza hoja zao ni za kusikitisha,Ati wawazidi wazungu wewe..?? & tulia wewe Mtu wa dunia ya...
  3. Alisina

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Afcon Awards:2023! Goalkeeper: South Africa -ronwen Williams Goal scorer: Equatorial Guinea -Emilio nsue Best player : Nigeria. -William Ekong! Fair play: South Africa...
  4. Alisina

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Nigeria Huwa wanafurahisha!!! Ukikuta wanavyojisifia!! Wanadai wao ndio fundi wa mahaba Africa nzima!! Na dada zao ndio Bora Africa!!! Mosi,uzungumzaji wao tu ,unawaondoa kwenye kinyang'anyiro Cha Love sector
  5. Alisina

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Ya, Kama umeifatilia Nigeria hata kabla ya Afcon, walikuwa wanacheza soka la kujilinda zaiidi/Defensive/Negative football,Japokuwa wachezaji wanao wazuri kulinganisha na mengi mataifa ya Africa. Coach wa Nigeria anauwezo Mdogo/Average coach! Japo Mimi si muumini Sana wa...
  6. Alisina

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Imekwisha!!!! Over over!! Ivory coast bingwa Afcon 2023!! Congratulations!!
  7. Alisina

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Nigeria coach Jose siku zake zimewadia Very average coach!! Defensive tactics
  8. Alisina

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Nigeria wanatafuta goli la kusawazisha,, Wanazinduka,wanazikacha mbinu zao za negative tactics
  9. Alisina

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Simon Adingra ataondoka na zawadi/Tuzo/Ntuzo ya mchezaji Bora chipukizi/Kijana wa Afcon 2023 bila shaka!
  10. Alisina

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Nalitambua Nigeria wataharibu fainali,na sasa imekuwa Hivyo!! The giant of Africa,ati wanajitwika!!
  11. Alisina

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Hata bila ya kutazama takwimu, south Africa goalkeeper kafanya vzr Afcon!! Hizi takwimu za soka Hasa la kileo,zinaacha matobomatobo mengi. Takwimu katika soka la kileo Huwa nakubaliana na Jose Mourinho!! Wakati mwingi takwimu ni kama kipande Cha nyama choma,inavutia kumbe ndani mbichi..!
Back
Top Bottom